simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
Sasa mashinji ambaye bado nina uhakika haijui chama kama kina lisu na mnyika atamshirikisha vipi kwenye dilii
"Wapinzani wa kweli na watakaolikomboa Taifa hili watatoka CCM." Jikumbushe wosia wa baba wa Taifa Mwl. J.K.Nyerere.Jifarijini
Siyo kila kitu naweza kukianika hapa
....Naomba nionyesha sehemu kwenye katiba inayosema ni haramu kikao hicho
Vigogo wa ukawa jana walikutana kwa dharura jijini Dar.Miongoni mwao ni Lowasa,Maalim Seif na mzee Kingunge.Source gazeti Mtanzania
MhhhhhWapambanaji wa ukweli