Naomba nionyesha sehemu kwenye katiba inayosema ni haramu kikao hichoKwa vile mikutano yote ya kisiasa hata mikutano ya ndani, imepigwa marufuku!, hivyo, kikao hicho sii halali na ni kinyume cha amri halali, naomba nijulishe na kunieleza kikao hiki kimefanyikia wapi ili niwaripoti washiriki wa kikao hicho kunako husika ili wahifadhiwe mahali salama! .
Pasco
Pole sanaNo much should be expected by wananchi from the same old fellows.
Kwani ni kikao cha CDM?Wote wakutanao wametoka CCm kasoro Freeman Mbowe! Chadema asili wako wapi?
Kingunge,Lowassa, Seif na Baregu
Kingunge ndio mainjinia wa siasa nchi hii...Hawa kina Lowasa na Kingunge mbona kama mnawaamini sana.Muwe makini na ushauri wao
Ok basi sawaUkishamwona mbowe , lowasa, maalim na kingunge ujue ni genge La watu uchwara !!! Hakuna maslahi ya taifa hapo ata siku moja
Kwa vile akili yako imejaa uovu basi chochote kitokacho kwako ni kiovu na ndiyo akili za mafisiem wengi.
Nichungu lakini mezaEtiii kingunge amekuwa injia wa kikao!! Profesa barefu naye kaaribu taaluma yake bure kujadiliana na hakina mbowe
Mara hii! Duh! Machadema bana, hamuaminiani kabisa!Hawa kina Lowasa na Kingunge mbona kama mnawaamini sana.Muwe makini na ushauri wao
Kwanza alipigia kura katiba pendekezwa, na hakuwaunga mkono bunge la katiba, anakuwaje kiongozi wa UKAWA?!!Viongozi wa Ukawa! Kwani Lowassa naye ni kiongozi ndani ya huo umoja? Ana wadhifa gani ndani ya Ukawa na Chadema?
Wewe kama umezaliwa mwaka 1995 mpaka 2016 unahaki ya kusema hivyo. Lakini huko nyuma, hukuruhusiwa kujiunga na chuo, kwenda nje ya nchi, kuajiriwa kama sio mwanachama wa CCM. Waanzilishi wote wa mageuzi walitoka CCM. Lakini na wote waendao mbinguni hutoka katika minyororo ya shetani.Wote wakutanao wametoka CCm kasoro Freeman Mbowe! Chadema asili wako wapi?
Kingunge,Lowassa, Seif na Baregu
Sijui kwanini nikiwaona, nawaonea huruma!!View attachment 397072
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (katikati) akiongoza kikao cha viongozi wa UKAWA kinachofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.
Dar es Salaam. Viongozi wa UKAWA wamekutana jijini Dar es Salaam kwa kikao cha faragha kinachoendelea muda huu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kinachomshirikisha kada wa zamani wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru, kimewakutanisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu.
mkuu picha plz,,
Gud gudMungu awaongoze katika faragha yao hiyo!