simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
Haitaji kuwa na elimu ya profesa au doctor kujua hili lowasa anahudhuria kwenye kikao cha UKAWA kama nani???
Ni bora ingekuwa Mbowe,Mbatia,Mtatiro na kiongozi wa NLD ila hapa mnaliwa peupe.Hawa kina Lowasa na Kingunge mbona kama mnawaamini sana.Muwe makini na ushauri wao
Leo Baregu anamsikiliza Lowassa na Kingunge?...kweli akili tumboni!View attachment 397072
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (katikati) akiongoza kikao cha viongozi wa UKAWA kinachofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.
Dar es Salaam. Viongozi wa UKAWA wamekutana jijini Dar es Salaam kwa kikao cha faragha kinachoendelea muda huu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kinachomshirikisha kada wa zamani wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru, kimewakutanisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu.
Mungu ilaani UKAWA.Mungu ibariki UKAWA .
Nchi hii kiongozi mkubwa ambaye hakutokana na CCM ni Nyerere pekee, sasa ajabu ni nini?Wote wakutanao wametoka CCm kasoro Freeman Mbowe! Chadema asili wako wapi?
Kingunge,Lowassa, Seif na Baregu
ofisi ya nani hii? inamhudumu makini sana ona alivyosimama kwa umakini, safi sana.View attachment 397072
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (katikati) akiongoza kikao cha viongozi wa UKAWA kinachofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.
Dar es Salaam. Viongozi wa UKAWA wamekutana jijini Dar es Salaam kwa kikao cha faragha kinachoendelea muda huu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kinachomshirikisha kada wa zamani wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru, kimewakutanisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu.
Dr.Mashinji mbona hatajwi?Wote wakutanao wametoka CCm kasoro Freeman Mbowe! Chadema asili wako wapi?
Kingunge,Lowassa, Seif na Baregu