YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 38
picha yake sijawahi kuipata lakini anatawala miyoni mwa watu kama bilioni kwa sasa. napoleoni mwenyewe anamkubali na ukimruhusu anabadili toka ufisadi hadi upendo. Washington and the co walimruhusu awasaidie kujenga taifa na tunaona effect yake. Tatizo Tz tumemzuia sasa tunatafunwa....mi huyu kiongozi Mnazareth nampenda kupita maelezo. Anateka nyara bila Jeshi lol!