Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Nimekusoma tena kwa herufi kubwa...Pamoja mkuuMakamba, Rost TAMU, Makinda, Rich Man of Monduli, Chenge, JMK list ni ndefu sana. Umenielewa?
Nimekusoma tena kwa herufi kubwa...Pamoja mkuuMakamba, Rost TAMU, Makinda, Rich Man of Monduli, Chenge, JMK list ni ndefu sana. Umenielewa?
Utakuwa una tatizo kubwa sana akilini! Nikigombea ubunge nije tangaza JF? Hebu jaribu kwa na fikra. Nitapata kura ngapi hapa JF? kwanza ninakotoka hata umeme wa mgao haupo. Sasa ni mpigakura yupi angesoma JF? Nina haki ya kuchagua nikipendacho sawa kijana! Usiwe unasoma Kitu JF na kumeza wengine tunachukulia hapa ni kijiwe tu. Nadhani hutaleta fikra duni zako milele.
hapo kwenye nyekundu nahitaji ufafanuzi zaidi, na pia kumbe wewe unaichukulia jf kama kijiwe? pole sana ndio maana unaenda ku copy kwenye encearta encyclopdia cv zawatu then unakuja zi paste hapa, nadhani wewe ndio unamatatizo na hisi una homon nyingi za kike zaidi ya za kiume
hahahahahahhaha eeeeti dr huuu ushenzi sana penye nyekundu!mw julius k nyerere
dr.jakaya m kikwete
james mapalala
abdurahman babu
dr lawrence gama
mzee makamba
Viongozi hao wote waliingia madarakani kwa kigezo cha kutetea wanyonge wengi, baadae wakaja kuwa mafisadi wakubwa kabla ya kuwa madikteta...
Gea zao walizotumia hazina tofauti yoyote na gea aliyojaribu kuitumia Slaa...
hahahahahahhaha eeeeti dr huuu ushenzi sana penye nyekundu!
sina muda wa kubishana na wewe, kumbe unapachukulia jf kama kijiwe? unazidi kuishusha heshima yako kwa wengi tuaopachakulia hapa kama ni sehemu ya kuelikika na kupata ufafanuzi wa mambo mabalimabali ya muhimu, pole sana masanilo.
Rev. Masanilo nadhani too much of JF inakupotosha sasa. Nimekua nikifuatilia sana threads zako kama mtu makini katika JF lakini hizi za mwisho mwisho zimelenga sana udini na hii imenisononesha sana kama unahusudu waalifu wa vita waliongamiza mamilioni ya watu. Nadhani mtanzania msomi Rev Masanilo unapaswa kuijua historia ya dunia na machungu watu hao walioletea dunia, kama mtu mwenye utu unapaswa kuonea aibu uhalifu. Tukiusifu uhalifu kama hivi tunalishushia hadhi jamvi na hatuna tofauti na wale wanaowasifu mafisadi na kuwakingia kifua.