Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

Politics without a purpose.
Hivi cuf hamjiulizi mantiki yenu katika siasa? Hapo ndipo mnapoitiwa CCM B .
 
kuna wakati natamani ushahidi wa lema kila mtanzania auone ili wajui ubaya wa cuf na ccm ingawa kufanya hivyo kuna matokeo mabaya sana..
 
Cuf lao moja na ccm, ukitaka kuwajua tafuta kura zao zote wakati wabunge umpa nani, mbunge wa cuf akisimama bungeni umtetea nani, na wakiwa mitaani umsema nani vibaya.

Zaidi, mpango wao 2015 ni kujiunga/kuimalisha ndoa yao na ccm. Cuf sio wadini-lakini chunguza kura zao zinaenda kwa nani, wanamsimamisha nani awe kiongozi wao, na ngom/ umaarufu wao huko sehemu gani?

Hitimisho litakuwa cufccm+'udini'+serikali ya muungano+tanzania....
 
linatangatanga tu si likae kwao zanzibar

Muache maalim Seif azindue watu mliwapotosha sana mtajuta Mwaka huu wewe rudi kwenu kilimanjaro Huyo no katibu Mkuu Wa cuf mwache afanye kazi watoto Wa mjini yupo maalim piga kazi tembea kifua mbele
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Umoja wa kitaifa wa Zanzibar Maalim Seif,Habib Mnyaa na Diwani wa Kibaga kwa tiketi ya CUF Bwana Juma Mkumbi wametumia muda mwingi sana kuituhumu chadema kwa ubinafsi,udini na ukanda wakati walipokuwa wanawahutubia wananchi wa Singida mjini katika eneo la stand ya zamani.

Habib Mnyaa anasema kuwa CHADEMA wameshindwa kushirikiana na vyama vingine bungeni kwa kuwa chadema ni wabinafsi na wanawaonea wivu cuf kwa kuwa wapo kwenye serikali.

Aliendelea kuituhumu chadema kwa kusema kuwa walishasema kuwa nchi haitatawalika hivyo haya matukio yanayotokea hivi sasa ni matokeo ya kauli tata za chadema.Bwana Mnyaa alihoji pia uhalali wa wabunge wa chadema kutumia quatation za biblia ndani ya bunge wakati hapo zamani biblia na msahafu zilikuwa zinaingizwa bungeni wakati wa kiapo tu!

Naye Maalim Seif pamoja na kulaani yaliyotokea jana huko Arusha na kuelezea faida zilizopatikana kutokana na serikali ya umoja wa kitaifa pia alionekana kupiga vijembe kwa chadema pale aliposema "kwa sasa imedhihiri chama cha kisiasa ni kipi na chama cha kidini ni kipi"
Kabla ya Hotuba za viongozi wakuu hao wa CUF Diwani wa Kibaga aliwaambia wananchi kuwa ichagueni CUF kwa kuwa mtapatiwa ubwabwa wa uhakika kama walivyofanyiwa watu wa Kibaga walipoichagua CUF.

Alisema kuwa watu wa Kibaga walikula ubwabwa kwa siku tatu fullizo.

Pia Diwani huyo ambaye ni mzaliwa wa Singida alisema kuwa amewachangia wazee wa Ikungi magunia kumi ya mahindi maana mbunge wao amekuwa wa miongozo na vurugu bungeni badala ya kuwasaidia watu waliompeleka bungeni.

My take: CUF haina tena mvuto huku bara na hata watu waliohudhuria mkutano huo hawakuwa wengi sana.


YALE YALE! "Ama kwweli nyani haoni kundule" siyo hawa CUF kamanda Mahita alituonesha kweye TV Visu na majambia waliyoagiza Uarabuni kwa ajili ya kuchunia watu?
 
Huyo diwani Juma Mkumbi ni wa kata ya Kibada-Kigamboni. Ni miongoni mwa madiwani waliorubuniwa kwa rushwa na wizara ya ardhi ili waiunge mko katika mpango wake wa mji mpya wa Kigamboni na kuminya malipo halali na stahiki kwa wananchi wa Kigamboni.
 
Hivi Zanzibar ina population kiasi gani?!

Sio sawa na Kawe kweli?
Hapo ndipo nauona muungano huu kama kituko. Watu milioni 44 mnaungana na watu milioni 1 na kulazimishwa kuwa na haki sawa (Refer to Warioba constitutional commission). Ama kweli wa bara tu mabwege.
 
Hata ningekuwa mimi m/kiti wa chama nisingekuwa na muda kuifikiria kura kiduchu za Z'bar kwa sasa!,Hawajulikani ni wanafiki! au limbwata la ndoa yao linawasumbua.Tena dawa yao ni kutowajibu tu,Maana mtu mpumbavu ukishamjibu anaona tayari ameshapata mtu wa kuongea nae(mpumbavu mwenzake).Kama CDM haina mvuto Z'bar mbona na wao CUF yao haina mvuto Tanganyika! Na wajue hawatapunguza kura ya mtu awamu hii tushawashtukia wao na mume wao lao moja.
 
Muache maalim Seif azindue watu mliwapotosha sana mtajuta Mwaka huu wewe rudi kwenu kilimanjaro Huyo no katibu Mkuu Wa cuf mwache afanye kazi watoto Wa mjini yupo maalim piga kazi tembea kifua mbele
sasa kama linatembea si liseme sera za chama chake au limerewa kulindwa pumbavu pemba hilo baada lipereke maendeleo kwao pemba njaa tupu linabaki kuzurura limepata nafasi hiyo lione kwanza siwapendi
 
ha uyo alosema wachague watapatiwa ubwabwa ni kiong6z kweli? Ha ha ha makubwa
 
Back
Top Bottom