Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

Cuf ina watoto Wa mjini twende wapi nyie wachaga na Cdm yenu nendeni kilimanjaro cuf haiwezi cuf imeshikwa na watoto Wa mjini Ndio mana kila misukosuko ikipata chama kipo vilevile nyie Zito anawagalagaza mfukuzeni muone vipande

Kataweze kwanza,
 
Lazma maalim seif achunguzwe..inawezekana anawajua waliolipua bomu! Anatafuta nini huko?
Waislamu wa Tanzania ni waoga sana! Wenzenu huwa wakifanya ugaidi wanasema kuwa ndio wahusika ili wapate credit (ref - viboko haramu na al-shababu). wa bongo mnakaa kimyaaaaaaaaaaa! Waoga kama panya
 
ALLAH AKHBAR!TANZANIA YETU TWAIZAMISHA WENYEWE,Yaani kweli leo hii CUF washasahau tulivyoumia mioyoni mwetu walipopakaziwa ni chama cha kidini???Ama kweli walikata tamaa na kuamini hawaiwezi tena ccm hivyo kwayo waliona ni bora kuungana nayo pamoja na madhila yote yatukumbayo kutokana na ccm."UKOMBOZI WA MTANZANIA MNYONGE UWAPI BASI PALE TUNAPOAMUA KUSHIRIKI MEZA MOJA NA MNYONYAJI CCM"???
lini CUF waliungana na CCM!!?
au ww umesikia watu na ww umekuwa kasuku!!?
 
Waislamu wa Tanzania ni waoga sana! Wenzenu huwa wakifanya ugaidi wanasema kuwa ndio wahusika ili wapate credit (ref - viboko haramu na al-shababu). wa bongo mnakaa kimyaaaaaaaaaaa! Waoga kama panya[/QUOTEha]
Halafu mkiambiwa ni wadini mnapiga kelele. Waislamu wameingiaje hapo?
Au ndio ile ile kauli mbiu yenu ya 'TUNA MUNGU WAO SHETANI'?
 
Waislamu wa Tanzania ni waoga sana! Wenzenu huwa wakifanya ugaidi wanasema kuwa ndio wahusika ili wapate credit (ref - viboko haramu na al-shababu). wa bongo mnakaa kimyaaaaaaaaaaa! Waoga kama panya[/QUOTEha]
Halafu mkiambiwa ni wadini mnapiga kelele. Waislamu wameingiaje hapo?
Au ndio ile ile kauli mbiu yenu ya 'TUNA MUNGU WAO SHETANI'?

Ebu bofya hapa ujue nini ugaidi na ni nani gaidi!!
http://www.youtube.com/watch?v=pjpPHr_ntVk
 
Hivi CUF bado kipo? Mtaani kwetu ukizungumzia CUF ni kama simulizi ya zamani, ambayo wahusika wamepotea njia na hawajui watapumzika wapi.

Hata huku kwetu ukizungumzia chadema utaambiwa nenda kilimanjaro huku ukitaja Cdm Aibu sabodo anawapa pesa ccm na chadema halafu muwe wapinzani subutu nyie mnatumika
 
lini CUF waliungana na CCM!!?
au ww umesikia watu na ww umekuwa kasuku!!?

Haujuieee??Subiria siku wakiwageuka na c umemsikia Doc Shain ashaanza kuwasha endicator??"TM WILL TELL".
 
Nyie mbona kigoma mnashirikiana na ccm kuendesha halmashauri baregu si ameteuliwa na kikwete ktk tume Hamna hoja nyie
 
CUF WHO?.....HAWA JAMAA ndio adui namba 1 wa demokrasia na upinzani hapa tanzania afanzali CCM kuliko hawa jamaa,sababu hawatabiriki.wote tunajua CCM wanatabirika.ila hawa jamaa ,ila kwa wapinzani wa kweli TZ we need to stay very far from CUF.....HAWANA NIA NZURI

Tunakujua unakolekea. Endeleza pumba zake kisa una kamchina kako kakuzugia ila ujue mbegu unayotesha km si wewe basi mama au ndugu mwingine atakuwa mhanga.
 
NAMPONGEZA maalim seif kwa kuacha ubaguzi na kufanya siasa bara. sasa ni zamu ya dk.slaa na mbowe kuacha ubaguzi na kuenda kufanya siasa pemba.
 
Tena hao CUF na huyo maalimu mtawala mstaafu ndio uamsho. Hawataki muungano. Sasa mgoja huo muungano ufe kama kisiwa cha pemba kitawatosha. Pole ya yaliyotokea Arusha ya nini maalimu? Fanya tafrija
 
Tunakujua unakolekea. Endeleza pumba zake kisa una kamchina kako kakuzugia ila ujue mbegu unayotesha km si wewe basi mama au ndugu mwingine atakuwa mhanga.[/QUOTEmkuu sijakupata yaani sijaelewa
 
Maalimu aache ubaguzi? Acha hizo, mbaguzi huyo. Anazuga tu, kwa kuwa yuko kwenye serikali ya umoja. Akiwa mtawala Zenji. Kila kitu kitakuwa ni wapemba tu. UAMSHO HUYOOOO
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Umoja wa kitaifa wa Zanzibar Maalim Seif,Habib Mnyaa na Diwani wa Kibaga kwa tiketi ya CUF Bwana Juma Mkumbi wametumia muda mwingi sana kuituhumu chadema kwa ubinafsi,udini na ukanda wakati walipokuwa wanawahutubia wananchi wa Singida mjini katika eneo la stand ya zamani.

Habib Mnyaa anasema kuwa CHADEMA wameshindwa kushirikiana na vyama vingine bungeni kwa kuwa chadema ni wabinafsi na wanawaonea wivu cuf kwa kuwa wapo kwenye serikali.

Aliendelea kuituhumu chadema kwa kusema kuwa walishasema kuwa nchi haitatawalika hivyo haya matukio yanayotokea hivi sasa ni matokeo ya kauli tata za chadema.Bwana Mnyaa alihoji pia uhalali wa wabunge wa chadema kutumia quatation za biblia ndani ya bunge wakati hapo zamani biblia na msahafu zilikuwa zinaingizwa bungeni wakati wa kiapo tu!

Naye Maalim Seif pamoja na kulaani yaliyotokea jana huko Arusha na kuelezea faida zilizopatikana kutokana na serikali ya umoja wa kitaifa pia alionekana kupiga vijembe kwa chadema pale aliposema "kwa sasa imedhihiri chama cha kisiasa ni kipi na chama cha kidini ni kipi"
Kabla ya Hotuba za viongozi wakuu hao wa CUF Diwani wa Kibaga aliwaambia wananchi kuwa ichagueni CUF kwa kuwa mtapatiwa ubwabwa wa uhakika kama walivyofanyiwa watu wa Kibaga walipoichagua CUF.

Alisema kuwa watu wa Kibaga walikula ubwabwa kwa siku tatu fullizo.

Pia Diwani huyo ambaye ni mzaliwa wa Singida alisema kuwa amewachangia wazee wa Ikungi magunia kumi ya mahindi maana mbunge wao amekuwa wa miongozo na vurugu bungeni badala ya kuwasaidia watu waliompeleka bungeni.

My take: CUF haina tena mvuto huku bara na hata watu waliohudhuria mkutano huo hawakuwa wengi sana.


Maallim Seif alikuwa MANYARA hakwenda Mount Meru Hospital kuangalia Majeruhi wa BOMU? na alikuwa kwenye ziara ya kiserikali ? What a SHAME!!!

Sijui Kwanini wasijiondokee Wawe na NCHI YAO a Zanzibar
 
Maallim Seif alikuwa MANYARA hakwenda Mount Meru Hospital kuangalia Majeruhi wa BOMU? na alikuwa kwenye ziara ya kiserikali ? What a SHAME!!!

Sijui Kwanini wasijiondokee Wawe na NCHI YAO a Zanzibar

ss si uwashauri viongozi wako wa Tanganyika wavunje Muungano?ss tushasema siku nyingi hatutaki Muungano!
unakumbuka siku iliyozama meli znz si bongo mliendelea miss Tanzania!!?au imesahau!!??
 
Back
Top Bottom