Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

NAMPONGEZA maalim seif kwa kuacha ubaguzi na kufanya siasa bara. sasa ni zamu ya dk.slaa na mbowe kuacha ubaguzi na kuenda kufanya siasa pemba.
mbona sasa hawaoneshi nia ya kushika dola? Kumbuka cdm haina dola, kauli hizo zingetoka ccm kuelekea upinzani sitashangaa lakini zikitoka upinzani kwenda upinzani zinaacha viulizo vingi sana!
 
mbona sasa hawaoneshi nia ya kushika dola? Kumbuka cdm haina dola, kauli hizo zingetoka ccm kuelekea upinzani sitashangaa lakini zikitoka upinzani kwenda upinzani zinaacha viulizo vingi sana!
kwa iyo Chadema wakipanda majukwaani wakiwaita Cuf Ccm B ni halali lkn Cuf wakitumia jukwaa ilo ilo la siasa wakiishambulia Chadema ni haram!!?
 
Maalim seif na huyo mnyaa wana mapepo ya kiarabu si bure kuropoka utumbo kama ule, CHADEMA hawataiweza waiache kama ilivyo wao wakomae na ndoa yao full stop.
 
ss si uwashauri viongozi wako wa Tanganyika wavunje Muungano?ss tushasema siku nyingi hatutaki Muungano!
unakumbuka siku iliyozama meli znz si bongo mliendelea miss Tanzania!!?au imesahau!!??

Miss Tanzania ???
 
ss si uwashauri viongozi wako wa Tanganyika wavunje Muungano?ss tushasema siku nyingi hatutaki Muungano!
unakumbuka siku iliyozama meli znz si bongo mliendelea miss Tanzania!!?au imesahau!!??

Na Hauwezi kujua FAIDA gani ZNZ inapata toka kwa TANGANYIKA; lakini Mmejengwa na CHUKI... Sasa hivi Mnaona ni BORA kuwa na WAARABU Mnabadilisha Historia kuwa kulikuwa hakuna BIASHARA ya UTUMWA... Unafiki Unadhani PIA waarabu watapenda RANGI yenu?

Ni kwasababu tu Mwapenda kuishi kwa Msuguano; Muungano usipokuwepo Mtatafuta chochote ambacho hamkipendi kati yenu nyinyi wenyewe na kukifanya ndio kibaya...

VERY WRONG MENTALITY... HATE HATE HATE !!!!
 
ss waarabu wameingia vp hapo!!!?
lkn mbona Waarabu hao hao wamejaa Tanganyika na mmewauziamaelfu ya Ekari?(Loliondo)au huna khabari ww?
Hivi biashara ya Utumwa hawakufanya Wazungu mbona huwataji!!?
 
vyovyote itakavyokuwa lkn ktk tv kulikuwa na live programe kuhusu miss (yaani waenda uchi)

Acha Unafiki wako na UONGO wako; Hata ZNZ ya SULTANI kabla ya MAPINDUZI ilikuwa pia na MISS ZANZIBAR Baada ya Mapinduzi Nyerere alikataza na pia ilikatazwa Tanganyika... ilikuwa 1968

scan0091.jpg

Huko Zanzibar nako mashindano ya ulimbwende yalifanyika kwa mara ya kwanza (na ya mwisho, kwani hayajafanyika tena hadi leo) na mshimdi alikuwa Bi Hediye Khamis Mussa (katikati) hii ilikuwa Januari 13, 1968
 
Attachments

ss waarabu wameingia vp hapo!!!?
lkn mbona Waarabu hao hao wamejaa Tanganyika na mmewauziamaelfu ya Ekari?(Loliondo)au huna khabari ww?
Hivi biashara ya Utumwa hawakufanya Wazungu mbona huwataji!!?

Hii hapa PICHA ya MISS Zanzibar... Kabla ya NYERERE hajapiga Marufuku kwa Bara na Visiwani

Umeona Wananchi wanapinga? Ni ULAFI wa BAADHI ya VIONGOZi Serikalini ndio Wameuza hizo ARDHI sio Wananchi
Kama kawaida VIONGOZI ni Walafi wa Utajiri hawawajali wananchi wao wanajali matumbo yao...
 
Hakuna chama kisichoeleweka kama CUF
 
Hii hapa PICHA ya MISS Zanzibar... Kabla ya NYERERE hajapiga Marufuku kwa Bara na Visiwani

scan0091.jpg
mwangalie huyu watu wanaisabu nazi ww unaisabu makumbi!!
mm kwani nimesema znz kulikuwa hakuna miss tunachoongea hapa ww siku ya maafa znz ilipozama meli huko kweli Tanganyika mashindano ya ya Miss vodacom yaliendelea km kawa!!
 
Hivi CUF bado kipo? Mtaani kwetu ukizungumzia CUF ni kama simulizi ya zamani, ambayo wahusika wamepotea njia na hawajui watapumzika wapi.
tangu CUF iolewe na CCM imekuwa mama wa nyumbani ndiyo maana haisikiki.
 
Hapo sioni mwenye akili timamu kwenya matukio kama haya watu wamekufa nyie mnaleta siasa tena.hapa aliyeleta udini ni na anayepanga haya ni kikwete,na si mwingine ndo kaingiza vurugu hizi ndani ili akaishi na bush.maalim seif anajua ninani mdini hapa,ndiye aliyepanga mauaji padri yule
 
Cuf ni wajinga, adui yetu mkubwa ni ccm.sasa hii inadhihirisha kuwa cuf na ccm lao moja.wala asituumize kichwa maana cuf ni ccm B so chadema mwendo mdundo...
 
Cuf ina watoto Wa mjini twende wapi nyie wachaga na Cdm yenu nendeni kilimanjaro cuf haiwezi cuf imeshikwa na watoto Wa mjini Ndio mana kila misukosuko ikipata chama kipo vilevile nyie Zito anawagalagaza mfukuzeni muone vipande

dodo chini ya mbuyu
 
Maalimu aache ubaguzi? Acha hizo, mbaguzi huyo. Anazuga tu, kwa kuwa yuko kwenye serikali ya umoja. Akiwa mtawala Zenji. Kila kitu kitakuwa ni wapemba tu. UAMSHO HUYOOOO

mkuu nakubaliana na wewe binafsi nilishauzulia mikutano yake anayofanya Pemba ni tofauti kabisa na anayoifanya huku Bara akiwa kwao ni kuhubiri udini na kuponda wabara wote akivuka maji anajifanya kubalance kwa kukomaa na CDM huyu mzee anazeeka vibaya.
 
Cuf ni wajinga, adui yetu mkubwa ni ccm.sasa hii inadhihirisha kuwa cuf na ccm lao moja.wala asituumize kichwa maana cuf ni ccm B so chadema mwendo mdundo...

mambo ya ndoa ndugu.hata ukiambiwa mumeo/mkeo mwizi huwezi kuamini
 
Back
Top Bottom