Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema ndio iliyoanza kutua na kukusanya umati wa watu na baadaye Helkopta ya CUF nayo ilionekana angani ambapo alipita chini chini katika mkutano wa CDM na watu wote walihamia katika mkutano.
Jazba za viongozi wa CDM waliondoka kwenda katika mkutano CUF kuleta vurugu ambapo wamefikia kukunjana, bahati jeshi la polisi limeweza kutuliza ghasia na mkutano wa CUF Unaendelea, kabla ya kwenda kuhitimisha Igunga mjini saa 10.