Viola mtetezi kachemka au amepatia?

Viola mtetezi kachemka au amepatia?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,382
Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.

Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake.

Wapo baadhi ya wafuasi wake wanasema anakosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye akaunti zake wengine wanasema anapatia.

Jee viola mtetezi yupo sahihi au anakosea.

👇

Msikilize hapa!
 
View attachment 3372988
Msikilize hapa!
mwachie achague kitakacho "muuza"
 
Amejitolea kuwa sehemu ya ukombozi wa Tanganyika kupitia talanta yake
 
Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.

Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake.

Wapo baadhi ya wafuasi wake wanasema anakosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye akaunti zake wengine wanasema anapatia.

Jee viola mtetezi yupo sahihi au anakosea.

👇

View attachment 3372988
Msikilize hapa!
Mafwele amesharuka naye waandae matanga tu.
 
kachemka sana...

sasa anawaumiza wapendwa wake... kijana ogopa sana kua mfano kwa namna yoyote mzuri au mbaya
 
Back
Top Bottom