PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sarikiaeli

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
971
Reaction score
1,606
Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !

Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini.

Mwisho ni haki yake kuchagua upande wa kisiasa, wala tusihukumu hiari yake !

Alikuwa anatafuta attention kwa chama ca ccm qmeshaipata na hapo alikuwa kafungiwa sehem kapewa kibunda ...ndo namna ya kutafuta chambi kipnd hiki cha kuelekea uchaguz mkuu
Inawezekana?
 
Wana harakati wa NoReforms NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !

Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini !

Unaweza kutembelea akaunti yake kupitia link
hahahaaaaa MPUMBAVU huyu katema bungo kaogopa kuwa mdude namba mbili katiwa kidole kimoja tu kabadirika shenzi kabisa alikuwa anapima maji?
 
MJINGA FULANI TUNDIYOMAANA KATEMA BUNGO KISHAUNGA JUHUDI
Ushamba wakushadadia wataka antention mitandaoni.... Kuna uzi jana nimewaambia huyo anatafuta antentio na wala hana umhimu huo!. Cdm wajifunze kutoshadadia vijitu vya kipuuzi
 
Kampeni ya no reform no election inajiendea yenyewe nashangaa MTU anavyoibeba na kutafuta Followers haifai Mimi huyo Dada nimeuona juzi Ila nilipomsikiliza nikajua ni kilaza anatafuta followers na umaarufu ili aje apige pesa

Chadema mmabidi kuwa makini na kusapoti watu wapumbavu wanotafuta umaarufu kwa interest zao.

GT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
 
Lakini pia hii.si dalii nzuri,.means TZ unafiki ni mwingi sana.
 
GT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
Hjafanywa walichofanywa wale wanaharakati wa kenya kweli?
 
Lakini pia hii.si dalii nzuri,.means TZ unafiki ni mwingi sana.

Hiyo kampeni inajiendea yenyewe wala haitaji MTU Kuisukuma .

Mfano huyo Dada Ana ushawishi gani ukimfatilia hana hata account yenye follower Million moja.

Kupitia kampeni ndo kapata followers kibao na kuanza kufatiliwa .

So ni ujinga kuwachukulia serious watu Kama hao .
 
GT
Kwanza kafuta contents zake zote za nyuma na kurecord Video kukipigia chapuo CCM .
Kilichompata inabaki kuwa siri maana asema kwa sasa anapumzika ah aha ha ha
Mbinu zipo nyingi sana.
Mtu anaweza kutekwa na kuumizwa /kupotezwa/kuuawa; au mtu anaweza kutekwa na kuzibwa mdomo kwa namna tofauti na hizo za mwanzo.
Matokeo kwa njia zote mbili ni yale yale, KUNYAMAZISHWA.
 
Kampeni ya no reform no election inajiendea yenyewe nashangaa MTU anavyoibeba na kutafuta Followers haifai Mimi huyo Dada nimeuona juzi Ila nilipomsikiliza nikajua ni kilaza anatafuta followers na umaarufu ili aje apige pesa

Chadema mmabidi kuwa makini na kusapoti watu wapumbavu wanotafuta umaarufu kwa interest zao.
Umesema umemuona juzu halafu unamdharau? Binti ana followers wengi hata kabla ya "kutekwa" and hope this is why wameona wamkamate cause ana followers wengi sana both TikTok na Instagram, followers wake wengi ni wanaume.
 
Back
Top Bottom