Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
Mhhhh, hapa ni kumkamata tu Steve Nyerere na kumuhoji kinagaubaga huyu dada yupo wapi, yule dogo atasema ukweli tu kwani hana akili timamu.
Takataka ni ile iliyopanua miguu kukuleta duniani.Anatafuta kiki, takataka
Mnduku wakoTakataka ni ile iliyopanua miguu kukuleta duniani.
God is good 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Taarifa zinaeleza kwamba yuko salama ila amejificha ili asiuawe
Huna akili pimbi weweAnatafuta kiki, takataka
Kumbe ni wa Chadema! Basi tayari wanaye.
Ohoo huwa namuoma tiktok sana. Ni dada fulani ana.akili ma sio wale wa kujipendekeza
Kwani jiwe si alikua Mtanganyika mwenzenu,aliwafanyaje ?Kati ya vitu vya hovyo mchonga alifanya ni kuunda aina hii ya Muungano kwamba mtu wa ZnZ anaweza watawala watanganyika
For sure 😁 wengi wetu tungekua hatupo Tena humu ndani.Nawaza tu hapa kama hao watekaji wangekuwa wana access ya urahisi ya kuingia, au kuwafahamu members wakosoaji wote wa jamii forums! Aisee nina uhakika yangetokea mauaji ya halaiki.
Maxence Melo, congratulation brother. Unajitahidi sana kuwalinda ndugu zako humu jukwaani. Siku ikitokea ukawasaliti, basi tambua fika dunia haitakutambua tena kama shujaa na msimamizi wa sauti huru! Na badala yake utatambulika kama Yuda Iskarioti.
MwenyeweMnduku wako
Acha kumsingizia mkaka wa watu, mbona yule Mkenya na Mganda hakuwaua?Tatizo.la.mafwele akishamaliza kubaka anaua afadhali angekuwa anabaka tu peke yake
Acha uoga mkuu. Kufa ni kubadilisha makao tu, alisema Mdude.For sure 😁 wengi wetu tungekua hatupo Tena humu ndani.
Kuna police department ya kufanya DORIA MTANDAONI so ikimpendeza anafanya kile utashi wake utakavyo ona Ina mpendeza ama inafaa
Binafsi Mimi napitaga kimya kimya Kama naaga maiti kwenye Facebook, Instagram,X, YouTube Si comment chochote
So sad.
Jambazi lileAcha kumsingizia mkaka wa watu, mbona yule Mkenya na Mganda hakuwaua?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, muda mwingine nae ana huruma.
Ndio inavyosemekanaAnawafira sana watekwaji au sio?
Hamna, ukute ni mzalendo sana hadi uzalendo umepitilizaJambazi lile
Ameshapatikana na amesilimu sasa hivi anahubiri ku tik October, walimfilimba wakamrekodi na kulazimishwa aseme oktoba anatiki vinginevyo video zinarushwa hewani wakati mafwele akipiga dudu.