Viola is missing

Viola is missing

Duh JPM bado anateka watu 😭 anataka kuharibu utawala wa huyu mama aliyeiponya nchi 😂
 
Kati ya vitu vya hovyo mchonga alifanya ni kuunda aina hii ya Muungano kwamba mtu wa ZnZ anaweza watawala watanganyika
Hiyo hakuweka yeye, msimsingizie. Kwenye katiba yake, waziri mkuu was so powerful than makamu wa rais. Hili limeanza baada ya mfumo wa vyama vingi, mwaka 1995 wakati Mchonga alikua out of regime 10 years before the general election
 
Wasiojulikana nasikia huwa wana baka, huyo hawezi kurudi.
 
drama za kutafuta kiki za kijinga
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Nawaza tu hapa kama hao watekaji wangekuwa wana access ya urahisi ya kuingia, au kuwafahamu members wakosoaji wote wa jamii forums! Aisee nina uhakika yangetokea mauaji ya halaiki.

Maxence Melo, congratulation brother. Unajitahidi sana kuwalinda ndugu zako humu jukwaani. Siku ikitokea ukawasaliti, basi tambua fika dunia haitakutambua tena kama shujaa na msimamizi wa sauti huru! Na badala yake utatambulika kama Yuda Iskarioti.
Tatizo staff wao mmoja ameingia CHAUMMA so hatupo secured sana kwa sasa. Hata PM sijibu kabisa maana wanaweza watumia ao so called "activist kukukamatisha!!
 
Maharamia wa chama dola kongwe hayajaacha kutaka damu za waTanzania tangu walipoanza kuteka, kuumizwa na kutupa watu maporini
 
Back
Top Bottom