Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,216
- 30,883
huo msimamo wa kilofa sio gentleman?
huo msimamo wa kilofa sio gentleman?
Kigogo ameshatoa taarifa kwamba yuko salama ila aliacha kutumia laini ya simu na simu ya awali kwa usalama wake baada ya kuanza kupokea vitisho kutoka kwa 'wild wolves'
Please NOO🥺🥺❗😭🙌🏿Wanataka kumuua
Taarifa zinaeleza kwamba yuko salama ila amejificha ili asiuawePlease NOO🥺🥺❗😭🙌🏿
Power fulani...! Ulitaka awe na power gani?Hizi harakati zinakutaka uwe na power fulani katika jamii, wewe mtu umepata flowers elfu kadhaa ushakuwa mpigania uhuru!
Aliasisi..... wanaendeleza walipoishiaDuh JPM bado anateka watu 😭 anataka kuharibu utawala wa huyu mama aliyeiponya nchi 😂
Yup kuna course inaitwa firaring fwele alipiga AKumbe alisomea na kubaka pia?
Yawezekana aliishiwa bando tu.Yupo hai na salama, rafiki yake amethibitisha hilo
Mafwele kaziniiii....!!!Wanataka kumuua
Hivi huwa kuna domestic wolves?wild wolves'
Anawafira sana watekwaji au sio?Yup kuna course inaitwa firaring fwele alipiga A
Watanzania wanaotumika ndiyo tudeal nao sasa...wasilete njaa zao hapaMzanzibari atatumaliza Watanganyika jamani tustuke, na mbaya zaidi anawatumia Watanganyika wenzetu kutumaliza ili aendelee kututawala
🙄🙄🙄Mafwele strikes again .
Nimependa hiyo njia ya ulinzi wa kura.Mafwele strikes again .
Akili ya wasiojulikana waliojulikana!drama za kutafuta kiki za kijinga
Mkuu mtu aking'atwa na nyoka akiona jani linatikisika huruka.KWAHIYO MTU ASIPOPATIKANA TU KWA SIMU, TAYARI KATEKWA! KUWA MFUASI WA CHADEMA NI ZAIDI YA UTAAHIRA.
Waueni na nyie,kila mtu atavuna anachopanda ni pamoja na hilo kama huna kazi ya kufanya watakutafutia cha kufanya tu kama hivyo.Wanataka kumuua
Ni matahira kidogo basi hawana hoja wala sera za msingi kama wapinzani wa nchi nyingine hawajui waanze na nini na waamalize na kipi bali ni matusi,vijembe,wivu,nk kwa pesa za upinde,familia yake imutafute watampata tu si alikuwa kazini bwanaMkuu mtu aking'atwa na nyoka akiona jani linatikisika huruka.