Chifu Mbuzi Mzee unamaanisha bongo Tanzania au bongo Afrika? Maana kama Tanzania hizo picha sidhani kama ni Tanzania. Nimeangalia plate numbers za hayo magari, hazifanani na za Tanzania!
Mungu hapendi wanavyoivuna hii nchi kama haina mwenyewe.lile kontena nahisi lilikuwa limebeba pembe za ndovu za yule ambaye wakisema .............unaitikia ....weka mbali na tembo