BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 481
Wana Jamvi!
Vingunguti na Kiwalani hali ni tete tangu jana usiku hakufai ni vurugu mtindo mmoja Diwani wa Vingunguti (CCM) hataki kuachia ngazi ameshindwa na CHADEMA imechukua kiti cha Udiwani tumekesha na mabomu ya machozi,virungu vya FFU na inasemakana kuna Watoto wawili wachanga wamefariki dunia kwasababu ya moshi wa mabomu hayo ya machozi, pia inasemekana kuna kijana kapigwa risasi ya mguu.
Hivi CCM hizi dhambi watazipeleka wapi kuwauwa hawa malaika wa Mungu!