Maoni ya Wazanzibar kwenye KATIBA YA CCM NA VYOMBO VYA DOLA

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
00260289-57ba0b2c050a46c0c973442bc25cbf9e-arc614x376-w1080-564x272.jpg



Hakuna shaka kua katiba hii ya ccm haina ridhaa ya wananchi wala vyama vikubwa vya upinzani nchini, hii ni katiba ya Ki (DICTATOR) ambayo ufanyaji wa kazi yake utatokana vyombo vya Dola kutumia (Nguvu) zidi ya raia.


Usimamizi wa Katiba hii itakua ni kutumia vyombo vya Dola kushurudisha yani Raia watanza kukamatwa kamatwa na kubambikiziwa makesi ya Luangwa ,chuki za kisiasa zitanza kabuki na chama tawala hakuna shaka kitakua kinavitumia vibaya vyombo vya Dola kwa shuhuli zao za Kisiasa ambalo jambo hilo tumelizowea .

Hivi sasa tayari kuna mikakati kabambe yaku vizibiti vyama vya kisiasa hususani vile vikuu Chadema na cuf ili visifurukute na washindwee kufanya shuhuli zao kwa kutumiwa Vyombo vya Dola na ccm , Watabanwa kufanya mikutano ya Hadhara na Mandamono na vyombo vya Dola vitatafuta visingizio na Sababu ili tu washindwee kufanya Shuhuli zao kwa Uwazi .

Tokea mchakato huu kutekwa na ccm tumeshaona wanavyo vitumia vyombo vya Dola vibaya zidi ya raia na hivi sasa kwavile tunaelekea katika kura ya maoni itakayo pingwa na Wananchi wa Tanzania ,basi tutashuhudia unyanyasaji mkubwaa wa vyombo vya Dola zidi ya raia.

Hatuna wasiwasi kua katiba itakikanayo hii na ccm itapita bila kupingwa kwa vile wamehodhi Nyanja zote za udanganyifu mfano tume za Uchaguzi NEC na ZEC na force ya Vyombo vya Dola kufanya kazi za kichama (ccm).

Kwa hio katakana na hali hii nilazima vyama vya upinzani kuanzia sasa Waitangi upya kupambana na ccm na tasisi zake ikiwemoo vyombo ya Dola na mahkama nchini, bila ya kuto kujipanga basi haki aitopatika na kwa kutengemea mahkama wakati zote hizo nikatika tasisi zake ccm.

Jee vyama ya Upinzani mumejifunza nini kuhusu Uchaguzi mkuu wa 2015 haliyakua ccm wamepindua nchana matokeo ya mchakato wa Katiba ?

Hakuna shaka kuwa hili lilikua ni funzo zidi yenu kwa njia ya kuelekea uchaguzi mkuu ambao matayarisho yake huanza kabla ya siku kufika ambayo tumebakia na siku chache tu kufika katika uchaguzi mkuu wa 2015 October.

Hivi kwela vyama vya upinzani ccm itakua tayari kuridhika kiungwana kuchindwa na wakatoa Nchi iongozwee na Vyama vya Upinzani ikiwa wameweza kupindua mchakato wa katiba wayside vipi kutumia tasisi zao za tume za Uchaguzi NEC/ZEC kubadilicha matokeo ?,Hii haingii akilini kabisa .

Njia pekeyake ya ccm kuingoa ni kuamua watakavyo ndio tutakavyo na wachezavyo ndivyo tutakavyo cheza , lakini kusema vyama vya upinzani wazitegemee tume za Uchaguzi au kuibiwaa na kusema wakimbilie Mahakamani? Nikujidanganya na kupoteza muda wao ,kwa style hii hakuna mahkama itakayo wafanyia haki kwa vile tumezoea kuona tume za uchaguzi ,Vyombo vya Dola na Mahkama vyote ni matawi ya ccm.



Ebu tuangalie maoni yao katika kuchangia

Maoni 5 katika "KATIBA YA CCM NA VYOMBO VYA DOLA"




  1. sadiq2014 06/10/2014 kwa 6:32 mu · Log in to Reply
    Ushauri wangu kwa kila raia ya Nchi hii ni kujenga uhasama na askari yoyote atakaeshiriki kwa hiari au kulazimishwa kwenye vitendo vya kikatili, subra inamipaka, KILL THEM AS THEY USED TO KILL US

  2. zamko 06/10/2014 kwa 7:20 mu · Log in to Reply
    @ Haya Yote Yasinge Tokea Kama Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Private na Vyombo vya Habari Vyengine havikua na Ubaguzi au Chuki juu ya Zanzibar na Madai yao marefu Ndani ya Muungano huu.
    Tumeweza kuona mifano mingi ya nguvu, mauwaji waliotendewa Wazanzibari na Tanganyika mambo yao yalikuwa yakiwaendea kamakwamba wao Ndio Muungano huu, na Nimajabari, Wakubwa na wakatumia Arogent yakutorepoti na kuikemea au kuandika Ukweli…
    Sasa kibao Kimewageukia hata Wao na wanaona jinsi Gani CCM walivokua hawana Imani na Ukweli au Watanzania wote kwa Ujumla.. Kama kweli CCM ni chama cha Amani na utulivu kingeweza kutumia Democrasia ya Vyama Vingi nakuweza kupata muafaka wa Katiba hii .
    Au kusikiliza maoni ya Wananchi hasa kwavile Mabillioni ya fedha yameshapotea. Lakini Wameacha maoni ya Wananchi ambao wao ndio waliowaweka kwenye Vyeo hivo Wanavojivunia na kuvitumia Vibaya..
    Maoni yangu:
    1. Nikwamba Watanzania Tusiwe Woga na Tunatakiwa Tuwache Kuboboja maneno Mengi na Badala yake Tutumie Vitendo… Mfano CUF na Chadema Vijana wao haweshi kuandika habari za Maandamano weeee , Maandamano wee na hakuna linalofanyika . Hivo CCM wanaona sisi ni Watu tusiojiamini hata kidogo ..
    Kama kweli tunataka kufanya Maandamano Nchi Nzima basi nikuwashitukizia Hawa CCM na Hivo Vyombo vya Dola na Maandamano kufanyika Mikoa Yote ya Tanganyika na Mikoa yote ya Zanzibar. Siku Moja na Kuandika Ujumbe Mzuri . Kabla hatujafanya hivyo Tunatakiwa Tuwataarifu BBC na CNN ili kupata Habari.. Kukaa kwetu Kimya na tukaogopa au Kutoa Taarifa za Maandamano ambazo ni za Uongo ni Weekness ambayo CCm na Intarahamwe hujivunia kwakutukandamiza.
    2. Tunatakiwa tukae Tutathimini Polisi wote na KMKM ni Wangapi? … Halafu tujiulize Hivo watu Millioni 30 ambao hao kwauhakika najuwa hawana Imani tena na CCM tunashindwa kuwadhibiti Hawa polisi 3500?
    Ikiwa Polisi na KMKM wanataka kutumia Nguvu Kupiga watu na Kuwauwa, kwanini Tusiwafanyie hivo hivo pale tunapoona mwenzetu anapigwa.. Hebu Tizama Polisi Wa Israel au Jeshi la Kizayuni.. Sikumoja Walipigwa Mawe mpaka Wakazimia,, Kwakuwaingilia Vijana wa Kipalestine katika mashamba yao ya Almond tree. Waliwa ambush..
    3.. Tunatakiwa tutumie taluma yakutengeneza Mabomu ya Mafuta kama CCM wanatumia Nguvu hilo Jeshi tunajua haliji kutulinda Sisi bali kutupiga nakutuvujisha Damu kama picha zinavyoonekana.. Jee bado utasarenda nakufuata kundi hili au Utawaarushia Mabomu ya Mafuta..
    Kwa Ufupi:
    CCM wameshapanga kubadilisha matokeo ya Uchaguzi kwakuyapindisha kwa maneno tu kama Alivofanya Salimini Amour kule Zanzibar wakati wa 1995.. Hilo tujiandae, kabla yakufika hayo Tuwatie Adabu CCM na Vyombo vya Dola kwakuwashuhulikia Wabunge au Mawaziri..
    1 Ambushing,
    2.Surbotage Miradi yao.
    3, Kuwatenga katika Jamii.

  3. mpetehalisi 06/10/2014 kwa 10:49 mu · Log in to Reply
    @zamko,
    Sikubaliani na mawazo yako mengi, kwanza katika kuhamasisha vurugu wazanzibari ndio wanaoumia sana kuliko Tanganyika. Fanya marejeo ya maandamano ya miaka ya nyuma na matokea yake kwa wazanzibari. Tanganyika wajanja sana, wanahamasisha maandamano wao wanaingia nusunusu lakini wazanzibari tunaingia wazima wazima, tumepoteza watu wengi sana 2001 zanzibar, lakini ilikua tofauti kwa tanganyika. walijidai kujikusanya kidogo, wakapigwa vijibakora (akiwemo mwenyekiti wa cuf) na shughuli ikabaki kwa wazanzibari. Kutabiri matokeo ya uchaguzi kwamba watu watapindua matokeo kwa sasa bado mapema, nikwamba unakubali kushindwa wakati hujashindana.
    Ushauri wangu ni kwamba watu waendelee kuhamasishana kukipigia kura chama kinachotetea wazanzibari kiukweli hasa na si maigizo. Upatikane ushindi kama wa kura ya maoni kuhusu SUK hapo itakua ngum kuchakachua.
    Kuhusu picha ya hapo juu muandishi katutisha tu picha hiyo ya chini, naikumbuka iliwahi kutoka kwenye gazeti moja, ilikua inamuhusu jamaa kapigwa na watu wenye hasira kwa tuhuma za wizi na polisi ndio walifika eneo la tukio wakamuokoa. Kwa sasa sina kumbukumbu ya hili gazeti lakini nitajitahidi kulifatilia nikilipata nitatoa ni gazeti gani au ni chombo gani cha habari kilichotoa picha hii than nitawajulisha wana mzalendo. Napinga vitendo vya kikatili vinavyofanywa na jeshi la polisi kwa raia wasio na hatia, lakini wahalifu wakipatikana wachukuliwe hatua za kisheria.

  4. michakazo 06/10/2014 kwa 12:00 um · Log in to Reply
    Tusipate tabu,KWANI HATUJUI SALMIN AWADH ANAKAA WAPI,RAZA ANAKAA WAPI,ASHA BAKARI ANAKAA WAPI,SEFU IDDI ,NAHOZA,,WAO POLISI WAKIUWA RAIA NA SISI TUNAKAMATA MMOJA,WAKIUWA WAWILI. TUNAKAMATA WAWILI,KWA SYSTERM HII WENYEWE WATAACHA KUTUMIA VYOMBO VYA DOL,SI MISIKITINI AU MARIKITI TUNAKUTANA NAO,TUSIPATE TABU NA HILO MAZALI ZANZIBA NDOGO NA TUNAJUANA! WAKITUMIA JUNJAWEED SISI TUTAJIPAANGA NA ULINZI WA USIKU MTAANI WAKIVAMIA TUNAO,WAKIBAKA TUNAKAMATA WATOTO WAO TUNAWASHIKISHA. ADABU,JINO KWA JINO MARA USIZULUMU NA USIKUBALI KUZULUMIWA.
 
Wazanzibar waoga,wanafiki,waongo,bwabwaja. Wanapenda posho na vitu vya bure. Watabaki kulalamika huku wakichukua posho toka tanganyika
 
Back
Top Bottom