Elections 2010 Vingunguti na kiwalani hakufai mabom ya machozi yarindima usiku kucha

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
481
Wana Jamvi!

Vingunguti na Kiwalani hali ni tete tangu jana usiku hakufai ni vurugu mtindo mmoja Diwani wa Vingunguti (CCM) hataki kuachia ngazi ameshindwa na CHADEMA imechukua kiti cha Udiwani tumekesha na mabomu ya machozi,virungu vya FFU na inasemakana kuna Watoto wawili wachanga wamefariki dunia kwasababu ya moshi wa mabomu hayo ya machozi, pia inasemekana kuna kijana kapigwa risasi ya mguu.

Hivi CCM hizi dhambi watazipeleka wapi kuwauwa hawa malaika wa Mungu!
 
wana jamvi!

Vingunguti na kiwalani hali ni tete tangu jana usiku hakufai ni vurugu mtindo mmoja diwani wa vingunguti (ccm) hataki kuachia ngazi ameshindwa na chadema imechukua kiti cha udiwani tumekesha na mabomu ya machozi,virungu vya ffu na inasemakana kuna watoto wawili wachanga wamefariki dunia kwasababu ya moshi wa mabomu hayo ya machozi, pia inasemekana kuna kijana kapigwa risasi ya mguu.

Hivi ccm hizi dhambi watazipeleka wapi kuwauwa hawa malaika wa mungu!

nec ccm hii dhambi juu yao!
 
hao ndio sisiemu, yalianzia tandika yanaendelea... sina hakika kama yatafika osterbay na msasani:A S angry:
 
Wana Jamvi!

Diwani wa Vingunguti (CCM) hataki kuachia ngazi ameshindwa na CHADEMA imechukua kiti cha Udiwani

Hivi CCM hizi dhambi watazipeleka wapi kuwauwa hawa malaika wa Mungu!

Sidhani kama Diwani wa CCM ndie anaetangaza matokeo,,,,, mtafute mchawi wako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom