Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

kuweni na amani,jeshi la polisi lipo kwaajili ya kuhakikisha wanadar es salaam wako salama pamoja na mali zao.so hakuna mwenye nguvu zaidi kwa jeshi la polisi ni busara tu imekuwa ikitumika kiasi kwamba baadhi ya watz wamedhani kama wan wana mamlaka zaidi ya jeshi la polisi.

Safi sana Sajent...uko makao makuu au?..
 
Naona leo maji ya ***** yalukuwa hayajapata mwenyewe, ila leo yatapata mkunaji hongera Polisi
 
Nawapenda sana Waislamu; tusiwachukie ili wapate la kujifunza toka kwetu
 
kuweni na amani,jeshi la polisi lipo kwaajili ya kuhakikisha wanadar es salaam wako salama pamoja na mali zao.so hakuna mwenye nguvu zaidi kwa jeshi la polisi ni busara tu imekuwa ikitumika kiasi kwamba baadhi ya watz wamedhani kama wan wana mamlaka zaidi ya jeshi la polisi.

Jeshi la polisi limelala hadi mwenzao ameuwawa huko Zanzibar,bado mnasema busara...Mnataka afe nani ndio mshituke.?
 
Hivi mbona kila mahali hawa jamaa wanazusha vurugu?Wasikie Mombasa ni wao,Nigeria ni wao,Zanzibar,Dar es Salaam achilia mbali kwenye mataifa yao.Hivi ni nani aliyewaloga?
 
tatzo ni jinsi ya sisi kuja kurudi home kikinuka
kwa kukushauri tu,kama uko maeneo ya kariakoo,mida ya tha thaba na kuendelea kaa ndani.usha mwamwia mdhee kimaro kule moshi kwamba huku hali thio zhuri thana!
 
Back
Top Bottom