Sioni cha kujidhalilisha hapo,kwani hizo kondom zimetumika?...ni jambo la ubunifu tu,tuache ushamba wa kukalili
Angekuwa mwanao au mkeo ungemnunulia? Vazi kama hilo unaweza kwenda nalo ofisini au kwenye nyumba ya ibada au kwa wakwe? Tuwe na tafakuri pana tusiongozwe na mihemko ya kitoto
Tunazungumzia mavazi
Sio kila mavazi usiovaa kwa wazazi au wakwe hayafai,vijana wana uwanja wao wa kujiachia mbali na wazee wao....mfano wengi wakienda kwa wakwe kuposa hawavai jeans lakini jinsi linavaliwa na ni halali kwa miongoni mwa vijana na watu wazima pia
Sawa hebu tuzungumzie haya waliovaa sasa hao mabinti hapo kwenye picha
mshana jr wewe ndio wakuvaa miwani. Mbona hizi cyo ndom! Angalia vizuri
Kuna watu hawana kinyaa
Nazungumzia harufu