DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Hiyo harufu yake.....au zilioshwa kwanza........?.........
Tatizo huwa mnazinusa baada ya kutumika
Hiyo harufu yake.....au zilioshwa kwanza........?.........
Kwa hiyo umeisikia harufu yake ,mshana acha ushamba bana dunia iko kasi sana ukikarr maisha utaugua akili,watu wapo bize
Asante kwa ushauri lakini kasi ya dunia izingatie speed limit kwakuwa kuna mabonde milima kona na maeneo yenye msongamano wa watu nk..
Asiyelizingatia hili amekariri na rahisi mno kupata jambo baya kama kuugua ugonjwa wa akili akidhani yuko busy
Packet ngapi zilitumika
KondomuUmeangalia vizuri wamevaa nini?
Wamevaa ndomu.mshana jr
leo nakupinga kidogo. Kujidhalilisha kiaje? Mabega swafiiii, ungenyanyua picha, miguu huenda swafiii. Uso nimekubali. Kama amejaliwa mwache atufaidishe macho yatosha