Vingi v

Karibu sana hapa kwetu SIKONGE. Na ukifika simu yangu ni rahisi sana kuipata, msikilize Mchina na hiyo ndiyo namba yangu.

huo mji sijawahi fikiria kufika huwa napita tu,anyway one day ntakuja kutembea.
 
Last edited by a moderator:
Hawa nao wana majina ya KIBO(Kilimanjaro) na KICHECHE, sijui na wao watamu? Ila kwa sababu watu wanakwenda huko kila leo, kutakuwa na utamu fulani. Hebu JD na mumewe watuambie maana juzijuzi wamefikishana KILELENI.

 
Sema tu kweli,kama wanaumia waumie,si wajua ukweli waumaa!! Hahahahah
Inawezekana nimekumiss wewe ila sema naogopa kuzusha ugomvi maana watu wa humu naona wameniandama sana na roho zao mbaya kisa napendwa lol

Copy kwa The secretary na Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…