Ving'amuzi vya DSTV kwa Tsh 12000 per month

DSTV arusha wanapatikana karibu na IMPALA HOTEL...
DSTV wana package kama 4
1) dstv full package premium =$90
2)dstv compact Plus= tshs 80,000/=
3)dstv compact= tshs 48,000/=
4)dstv family= tshs 17000/=
chagua uipendayo....

mkuu premium ni $78 na sio 90
 
waje watupe maujanja aisee! Hawa jamaa wanatukamua sana mkuu!

hawa jamaa wamejipanga kweli kweli kila baada ya dk moja wanabadilisha password kidogo inakuwa ngumu labda matechnician wao wakufanyie..
 
hawa jamaa wamejipanga kweli kweli kila baada ya dk moja wanabadilisha password kidogo inakuwa ngumu labda matechnician wao wakufanyie..
Kuna jamaa yupo kenya,nasikia anazichakachua ila anakuwekea decoda nyingine yenye port ya usb,so unatakiwa utumie modem kiasi kwamba wakibadilisha password inajiupdate yenyewe,anacharge Tshs-450000 na kila mwezi unamtupia mpesa elfu mbili ya kenya,binafsi nilimpotezea,but kuna jamaa wamefunga wanasema ipo poa!
 
Back
Top Bottom