wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana wapi mi npo arusha.NAWASILISHA
Zipo na za Kenya na ipo moja inayoonesha tamthiliya na movie za kiswahili ni kali kwelibei ya chini kabisa: no 110000 malipo kwa mwezi no 16,000 local channel ni Tbc tu kuna channel moja ya sspt blitz.
Nipo loliondo.je arusha kuna branch yao kwani nahitaji hiyo ndogo
wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana wapi mi npo arusha.NAWASILISHA
DSTV arusha wanapatikana karibu na IMPALA HOTEL...wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana wapi mi npo arusha.NAWASILISHA
DSTV arusha wanapatikana karibu na IMPALA HOTEL...
DSTV wana package kama 4
1) dstv full package premium =$90
2)dstv compact Plus= tshs 80,000/=
3)dstv compact= tshs 48,000/=
4)dstv family= tshs 17000/=
chagua uipendayo....
bei ni sawa kama hapo juu mkuu! Gharama za fundi ni juu yako,dstv wanaumiza sana japokuwa hatuna option nyingine,me nililipia fully package kwa 140000,coz dolla ilikuwa juu! Hiv hakuna wachakachuaji wa hii kitu wakuu!!!nikitaka equipment peke yake yaani dish na decoder wanauza bei gani?
bei ni sawa kama hapo juu mkuu! Gharama za fundi ni juu yako,dstv wanaumiza sana japokuwa hatuna option nyingine,me nililipia fully package kwa 140000,coz dolla ilikuwa juu! Hiv hakuna wachakachuaji wa hii kitu wakuu!!!
waje watupe maujanja aisee! Hawa jamaa wanatukamua sana mkuu!Nasikia wachakachuaji wapo wengi sana lakini sijawapata, ila kwa hapa JF ngoja waje!