bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k
kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!
DRINK BEER SAVE WATER!
Big up kaka wengine wazushi tu acha watu wale bierebia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k
kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!
DRINK BEER SAVE WATER!
TUNALALAMIKA VIN'GAMUZI BEI IKO JUU MBONA TUNAZUNGUSHA ROUND ZA POMBE/BIA ZA 40,000 TSH TUNAPOKUWA BAR?
wabongo tunapenda kulia ukata,subiri kichapo chake pale mbongo anapozipata,ni mwendo wa kiti kirefu jirani na nyama choma na toto mbili za geti au za corner(ambiance)
ETI TUNASEMA ANAPOTEZA MAWAZO. BONGO DSM....UTALIA
Vijana wetu wa VETA watutengenezee ving'amuzi vya buku bana!
Uwezo wanao kaka sema serikali haitii mkazo ktk hiyo sector.Mawe yao ! Mbona mbingu itapasuka ! Hao maprofessor wenu pale Muhimbili mpaka leo wameshindwa hata kutengeneza PPF injection ! Na kama Veta wataweza basi ndiyo siku Tv zote za nchi hii zitaungua !