VINCENT Nyerere: Waziri Nchimbi afukuzwe kazi mara moja

Jamani inaeleweka hata kabla ya kuanza kazi kwamba Nchimbi alipaswa kuwa amefukuzwa. Tazama katibu wa kamati ya Nchimbi alikuwa ni afisa wa polisi, yaani wanaotuhumiwa kwa mauaji, sasa hapo unategemea nini?? Ukisoma ile taarifa utaona kuna maeneo mengi tu hata kiswahili wamekosea, hapa naona hata wajumbe wengine wa kamati hawakupata kuisoma na kuirekebisha. La ajabu, wote wamesaini tar 09 October 2012 ikimaanisha kwamba huenda wajumbe walikutana tu pahala fulani nakusema lete tutie saini hata pasipokuipitia.

Anayeendelea kufurahia serikali ya namna hii kuendelea madarakani ana ufinyu wa kuona katika ubongo wake! Si kwamba inasikitisha tu, lakini pia inatia aibu kwa nchi na taifa!
 
There is nothing covered that will not be revealed, and hidden that will not be known. Patience!!!!!!!!!!!!!
 
kumbe ana exist huyu waziri kivuli....

Anaexist kwa issue zinazohusiana na mustakabali wa taifa letu kwa maana ya siasa za kweli sio udini na maji taka.

Let founders of the problem Kikwete and ccm solve it on their own, chadema will speak on this at any convenient time as necessarily will it be needed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…