Voice of Mara
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 358
- 127
Mhe Vincent Nyerere mbunge wa Musoma mjini ambaye ni moja wa familia ya Nyerere amevunja ukimya na kunena juu ya sakata iliondikiwa na magezeti mawili ya kila siku ambayo ni jambo Leo pamoja na Majira.Hii imetokana na ziara aliyoifanya Mnyika na baadaye Zitto pia katika makumbusho ya Butiama pamoja na kuonana na Mzee Wanzagi.
Soma alisema Vincent Nyerere...
Nina bahati ya kutoka kwenye ukoo ulio neutral kabisa ki siasa, kila mwanasiasa wa Chama chochote kwenye ukoo wetu ana haki Sawa, ndugu zangu wapo CCM mie nipo CHADEMA, wageni wote wanapokelewa Sawa.
Ninachukia kuona wengine wanawalisha Wanandugu Kuwa wameombwa wengine wasipokelewe,Kwetu Hilo halipo.
NI VIZURI KUTOWEKA MANENO YA UZUSHI KUWA FULANI KASEMA MKIJA MSIPOKELEWE.
Hakuna ukweli katika Hilo msemaji wa ukoo ni Chief Japhet Wanzagi Nyerere.Kwa niaba yake tunawapenda wote.