Vincent Nyerere avunja ukimya

Vincent Nyerere avunja ukimya

Kwahiyo mtu akija na kutaja jina la baba yako anakuwa ni mtoto wa baba yako....
Thanxs sana brother maana kuna watu uelewa wao wa kufikili uko chini sana!Yaani mtu anashindwa kutambua kuwa nyerere ni jina tu kama majina mengine likiwamo hata la baba yake!asante kwa kumwambia ukweli labda atajitambua sasa!
 
familia hii iliishajengewa misingi ya kusema ukwel sasa ukisema neno lolote la kinafk kwao watalisema hadharani tu,
 
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
watu wengine bw,kama siyo mtoto wa Nyerere labda ni wako mbona ww hutaki kujitaja? hivi huyu anayewalipa kwa kupositi ujinga kila mara na yeye hana akili kama nyie la sivyo kwa ujinga huu hupaswi kulipwa kabisa,kuna mtu huko baba yake yupo busagala mza,huyo huja muulizia ubini wake unang'ang'ana na vicent labda kama baba yake una mjua umtaje halafu tuone kama ubini wa mtu unambadili huyo mtu.
 
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?

mbona alishasema yeye baba yake ni mzee kiboko?
akili zenu huwa hazifikirii mbali zaidi ya utumbo mliotumwa.

mkapa aliumbuka hivi hivi arumeru baada ya kutaka kufanya cheap politics.
tafuteni majibu ya umaskini wa watanzania
 
Huyu mvuta bangi vicent asitake kujifanya mtoto wa nyerere ili wana musoma wamuonee huruma, hana uhusiano wowote na nyerere hilo jina amejipachika tu kama yericko
 
Magazeti ambayo ni yana mlengo wa kinfiki dawa ni kusoma vichwa vya habari kwenye meza za magazeti basi,kuto kuyanunua ifike washindwe hata kuwalipa mishahara wafanyakazi wao,mm kuna baadhi ya magazet sijawai na sitawai kununua mf Tazama,jambo leo na mengine fulafulan yanafahamika
 
Huyu mvuta bangi vicent asitake kujifanya mtoto wa nyerere ili wana musoma wamuonee huruma, hana uhusiano wowote na nyerere hilo jina amejipachika tu kama yericko

Nawewe jipachike LA wasira au pinda. Laki si pesa pinda/ nape / wasira/membe . tuone utakavyoshine
 
Magazeti ambayo ni yana mlengo wa kinfiki dawa ni kusoma vichwa vya habari kwenye meza za magazeti basi,kuto kuyanunua ifike washindwe hata kuwalipa mishahara wafanyakazi wao,mm kuna baadhi ya magazet sijawai na sitawai kununua mf Tazama,jambo leo na mengine fulafulan yanafahamika

fulanfulan=raia mwema
 
Baadhi ya Magazeti(Uhuru, Majira, Jambo leo, Raia mwema, Mtanzania, Habari leo nk) hapa Tanzania ni sehemu ya taasisi zinazodaiwa kulipwa na wafadhili wa ACT ili kuipa attention ACT(Zitto) kwa kutumia nyota ya CHADEMA.
Hivyo wanatafuta kila angle ya kutaka kuonyesha kuwa CHADEMA wako busy kupambana na ACT wakati sio kweli
Kabisa.

Wamekosa cha kuandika hivyo wameamua kuganga njaa
 
zitto anatunyima usingizi jamani. apunguze spidi
 
Huyu mvuta bangi vicent asitake kujifanya mtoto wa nyerere ili wana musoma wamuonee huruma, hana uhusiano wowote na nyerere hilo jina amejipachika tu kama yericko

Vincent J Kiboko Nyerere.ni mtoto halali wa Mzee kiboko kaka yake mkubwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. napia mjukuu wa Mzee Bulito..na hiyo ndo nyumba ya aliyekuwa baba Mwl Nyerere au ambye ni babu yake na Vincent Nyerere. ukitaka kujuwa mengi juu ya familia ya Vincent Nyerere njoo Butiama tutakulipia kila kitu.
 
Attachments

  • 1429760828608.jpg
    1429760828608.jpg
    123.1 KB · Views: 266
Asante sana Kamanda vicent baada yakuona hawawezi kushinda tena Musoma ndio usani umeanza hawajui chadema ni mpango wa Mungu
 
mipango ya mungu huwa siri na anaijua yeye...chama kinachosema ni mpango wa mungu kinakufuru na kinamdhihaki mungu
 
Vincent J Kiboko Nyerere.ni mtoto halali wa Mzee kiboko kaka yake mkubwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. napia mjukuu wa Mzee Bulito..na hiyo ndo nyumba ya aliyekuwa baba Mwl Nyerere au ambye ni babu yake na Vincent Nyerere. ukitaka kujuwa mengi juu ya familia ya Vincent Nyerere njoo Butiama tutakulipia kila kitu.

Hahaha hapo harudi tena. Umempa za uso. Amekaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom