SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
ACT....Ni kama mgonjwa wa akili anayetapa-tapa barabarani
ACT ni genge la wasaliti na wachumia tumbo
ACT....Ni kama mgonjwa wa akili anayetapa-tapa barabarani
ACT wanaendelea kuigiza , waliona kumfitini Mengi hakutoshi sasa wameingiza familia ya Mwalimu .........
vicent nyerer ndo nani, ni wale wale tu wasaka tonge yule ni chadema lazima amushabikie munyika hawezi mutosa.
sisi tunajua amewazuia kwenda ACT ,,CHADEMA Wanafiki wakubwa.
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
Tutajie kwanza jina la baba wa nape,pia baba yake membe
Unawzaje kutengenasha huyo jamaa na cdm . Kwa maslahi ya chadema asingeweza kwenda kinyume na chadema hatakama ni kweli
Mwaka wanafiki watazidi kuumbuka ACT mnapoteza muda wenu kushindana na moto wa Chadema uwongo hatowafikisha popote.
Kaa kimya kuficha upumbavu wako
Huo ndio ukweli CDM wanapambana na ACT tena sio kwa kificho wametangaza hadharani kuwa "Adui yetu namba moja ni ACT na zzk" (Mnyika, 2015)
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
Badala ya kuhangaika na kuwatoa wana kanda ya ziwa wote maana wote mapenzi yao ni kwa cdm,nivizuri ukaondoka wewe uende ukaishi pale lumumba
Kwani wewe ukitajiwa Nyerere unajua ni JK tu?
Ongeza maarifa ukoo Wa Nyerere anatokea Vincent,ukiendelea kubisha bila fact muulize BWM kilichomkuta wakati Wa kampeni za ubunge arumeru mashariki.
Sijakuelewa mkuu
Mkuu nilimjibu actccm alipost kuwa tuiondoe chadema mkoani mara kwani haipendwi.
Mkuuu naomba kujua actccm wameishia wapi?yaani chama akiumwa mtu mmoja na chama kinaumwa?mkuu hatuhitaji kutumia nguvu nyingi ya kuhangaishana na mtoto wa ccm
CCM haina nafasi tena mkoa wa mara,wana mara wameamka na wanatambua kile wanachohitaji siyo propaganda za fisiem