Vincent Nyerere amebadili muelekeo wa CCM Mkoani Mara

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
0
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara na pia mbunge wa jimbo la musoma mjini Vincent Nyerere amemaliza kazi ya kuwanadi wagombea wa ukawa mkoani mara,siku ya leo amefanya mikutano sita katika wilaya tofauti za musoma vijijini na kumalizia kuwanadi wagombea wa kijiji cha mugango ambapo wazee 10 wa vitongoji na wanachama 60 wa CCM wameamua kurudisha kadi za ccm na kujiunga na wanaharakati kudai haki zao.Upepo wa CCM mkoani mara umebadilika na kuwa wa hovyo kuliko ilivyowahi kutokea.Siku ya kesho atahitimisha kampeni katika jimbo lake la musoma mjini ambapo mkutano utafanyika viwanja vya shule ya sekondari mara
 

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,667
2,000
Lameck nae analia kuwa Rorya wakenya wameingizwa na chadema Kuja kupiga Kura, kweli Mara CCM inakufa kifo cha haraka
 

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
0
Niliwahi kusema nayachukia magamba kuliko mdudu,kiasi kwamba siku nikikuta magamba yanapigana na nyoka basi nitamsaidia nyoka kumuua gamba
 

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
0
mu
ukisikia komba anaimba ccm ina wenyewe
na watu kibao basi wenyewe ndo kina
escrow,richmond epa na watu kibao ndo
hawa wa kiroba na kubebeshwa mabango
nachukia ccm
 

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,667
2,000
Mara imechafuka wanamkumbuka Makongoro Nyerere, alipokuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Magamba walikuwa na nafuu, Ila sasa Hali tete
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom