Vincent Nyerere amebadili muelekeo wa CCM Mkoani Mara

UJINGA WAFANYAO WAZEE WA CCM.
1. Sitta anadhani ameletwa na Mwenyezi kuja
kututungia kanuni za jinsi ya kuishi. anajiona
matawiiii. kumbe hana lolote.
2. Lowasa. anajiona kama ikulu alijengewa
yeye na mpango wa kuhamia magogoni hautoki
kichwani pamoja na kukutwa mchana akiwaibia
watanzania na richmond pia Dowans akiwa
mtendaji mbovu hiviii ameliingizia taifa hasara
hata alipovunja mkataba wa city water na kesi
tukashindwa. hafai hata kuachiwa uangalizi wa
kuku.
3. MEMBE. yuko chini na kujiamini akijua ikulu
iko mikononi mwa shemeji sijui kaka yake.
huyu ndio hafai reputation yetu tz nje
imehelaribika badala hata ya kufanya kazi
kidogo kuimend yeye tz ikisemwa matukio
mabaya na ambayo mtu anadhani ni kweli yeye
anakanusha tu tena kwa kujiaminiiiii. mfano
rais wa china alitoka tz na pembe za ndovu.
akakataa baada ya siku 3 interpol wakampa
majina ya wachina wanao winda tembo
wanatafutwa nae akayatangaza. hana sifa.
4.mwigizaji mwigulu nchemba m.h.r.i.p. huyu
kijana ni mnafiki kupindukiaaaaaaa. kitu kizuri
kiksemwa yumo, kibaya kikitajwa aku hayumo.
siasa za vurugu ya siraha na ugomvi kaanzisha
yeye. Tz ilikuwa haijashuhudia bomu kuripuka
mkutanoni mwa chama cha siasa. kulikuwa na
ngumi nyepesi nyepesi tu zilimvunja mkono
lipumba na jidula mabambasi wa maswa
m.h.s.r.i.p toka kwa green guard. yeye kaja na
mbinu zinanishangaza sana. tindikali, marungu,
tae qwando, kareti, kick boxing, shotoqan. cdm
tz nzima wengi wanamajeraha mapya ya tangu
awe naibu katibu wa ccm.
4. makamba dayright dreamer
5. Ngereja. escrow boy
6.Pinda aliagiza tupigwe tu kachoka atajipigia
kura yeye mwenyewe. kila kashifa iliyoibuka
akiwa waziri mkuu kikwete huwa nje ya nchi.
yeye husema tumsubiri rais. ina maana
hawezik ufanya maamzi kama waziri mkuu.
shaaaame. hafai coz hana uthubutu wa
kufanya jambo lolote kupinga maovu.
NK.
SAMAKI MMOJA AKIOZA WOTE WAMEOZA.
EPA, ESCROW,KAGODA, TANGOLD, ZA USWISI
KUTOROSHWA WANYAMA HAI, MISHAHARA
HEWA NK WAHUSIKA NI CCM.
WAMEOZAA HAWAFAI TENA TUPA KULEE.
UKAWA WAMEZALIWA UPYAAA
MBOWE,LIPUMBA,MBATIA TUTALETA SANITY
KWENYE SIASA ZA TANZANIA.
UKAWA WANAWEZAAA TUWAPE DHAMANA YA
NCHI.
 
Lameck nae analia kuwa Rorya wakenya wameingizwa na chadema Kuja kupiga Kura, kweli Mara CCM inakufa kifo cha haraka

Inapendea kusikighafla CCM wamejiuta wamekuw chama cha upinzani sehemu nyingi za nchi yetu
 
Back
Top Bottom