Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
jf addiction.
We muhudumu NIMESEMA PUNGUZA SAUTI YA MZIKI,nawasikiliza kwanza hawa wakina erickb na pizza cjui baggah...
jf addiction.
Yuko niliko mimi....njoo umwoneamy yuko api??
Yuko niliko mimi....njoo umwone
Dee huwezi kutusikia...mziki wa club hauna kupunguza sauti...nenda washroom utatupata fresh!.au uko viwanja vya kijitonyama?
sasa Mwali inakuwajeVinara wakishajulikana kuna zawadi?
Kwani vipi Ivuga?sasa Mwali inakuwaje
Kwani vipi Ivuga?
Poa dogo usiku mwemabraza acha kumdanganya shem Kaby...Amy katulia hapa anasoma hizi post kupitia simu yangu,anawachora tu...anacheka hapa kinoma!kaka usiku mwema majukum yamekushinda...
Vinara wakishajulikana kuna zawadi?
vinara wakishajulikana kuna zawadi?
Sijambo, shkamoo uncle ...
![]()
Kumbe? Basi mtapatana na Uncle wangu.Umejuaje
yaani mie addict wa chai ya rangi
Iwe ya limao, mchaichai, iliki, mdalasini
tena siku za joto natengeneza ice tea.
Kumbe? Basi mtapatana na Uncle wangu.
Uncle anapenda chai sijawahi ona! lol
Halafu funny mimi sipendi chai.
ukiona nakunywa chai basi nainywa kama dawa
(infusions za chamomile mara nyingi)
Dah, wantamanisha... mi pia napenda hayo mazingirabasi uje kwangu
nikufundishe jinsi ya kunywa chai na kuinjoi
usiinywe kwa papara
kunywa kwa pozi huku mwapiga stori
tena napenda niwe verandani nje ya nyumba
nina kitabu changu au gazeti
au napiga stori na watoto
basi raha tupu