Vinara wa jf!

Vinara wa jf!

Kidumu bado anacho, ndoo imeanguka lol.. Anahaha tu sasa!
Hahahaaa tatizo ndooo huwa moja ila vidumu ndiyo huwa vinapangwa hadi hapatoshi ila havijuani hata kimoja na na kila kidumu kinajijua ndio chenyewe tu hakuna kingine....Lol mnatuweza kwa hilo
 
Mambo b.. Miss u too jamani.. Jana wakati naondoka uliniambia kitu halafu sikusikia. Ile bar yenu ina kelele. What were u saying...?

what else?nilitaka kukupa busu la shemeji!..Amy plz njo faragha!
 
Mtoa mada , mimi am sure humu katika Ma'alwatan au Vinara maarufu simo.
My shabaha ningependa nikupe kumbusho kua Uzi wako ukiwasahau wamaarufu wengine hautanoga !
Itakua ni kama Pila lilikosa Kachumbari !
Nikuongezee :
- Maprosoo alleged Popobawa (huyu kuna siku akikutembelea usiku hutomsahau)
- Mtalingolo
- Nyani
- Mtambuzi
- Mwanavillage

Jg,
your highness!
hata ww ni nyota(samahi nimekupa jina lenye maana zaidi ya mbili...LOL)...sijui list imekukosaje
 
what else?nilitaka kukupa busu la shemeji!..Amy plz njo faragha!
Hahahahaaa hapa humpati dogo!
Tunasinzia hapa we acha tu....hasa Amy ndo kazidiwa coz last night tulikuwa na shughuli si mchezo
Lol
 
Hahahahaaa hapa humpati dogo!
Tunasinzia hapa we acha tu....hasa Amy ndo kazidiwa coz last night tulikuwa na shughuli si mchezo
Lol

teheeee...mnasinzia?mlikua makambi/maombi ya mkesha/mwezini? ama?shughuli gani sasa?
 
We muhudumu NIMESEMA PUNGUZA SAUTI YA MZIKI,nawasikiliza kwanza hawa wakina erickb na pizza cjui baggah...
 
Back
Top Bottom