Vinara wa jf!

Vinara wa jf!

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,629
Reaction score
2,310
Ni aghalabu kuwakosa hawa jf, nitonye, sweetlady, bagah, nyani ngabu, ashadii, firstlady, boflo, cantalisia, bishanga, walinazi(huyu kaja juzi juzi tu hapa jf lakini yumo), youngmaster, na........,
 
Mwanakijiji, Maxshimba, Litz. The Boss, Bishanga, Sikonge, Katavi n.k.
 
Kuna kongosho na Saint Ivuga hawa post ya saa 12 asubuh mpaka ya saa sita usiku nakuendelea wapo tu!!
 
seriosly.., no offence, saint ivuga, wht do u do to earn a living?? Maana ningepata kazi kama yako ya kuwa jf all day long, ningenenepa...
 
Ni aghalabu kuwakosa hawa jf, nitonye, sweetlady, bagah, nyani ngabu, ashadii, firstlady, boflo, cantalisia, bishanga, walinazi(huyu kaja juzi juzi tu hapa jf lakini yumo), youngmaster, na........,
Tumekuwa mateja wenzio, tusaidie tujikwamue...lol.
 
And the list goes on and on.. Hawaishi hao utachoka mwenyewe!
 
seriosly.., no offence, saint ivuga, wht do u do to earn a living?? Maana ningepata kazi kama yako ya kuwa jf all day long, ningenenepa...
Anafanya internet cafe mwenzio na huwa analala hapo, hapo!
 
mwali ndo huniacha hoi
sijui ni mlinzi wa seva ya jf
saa 9 usiku, yuko active sana.
 
najikuta najing'aata!...nimekuja nawasikiliza sasa!
 
Mzima Amyner,

leo sijamuona Erick kabisa is he ok?

Mi mzima SL, Erick nipo nae hapa, kama una ujumbe nipe nimfikishie...
Btw umeona michezo alokuwa anacheza nitty utotoni?! Lol
 
Back
Top Bottom