Ni kweli kuna wale wageni wasiojua kweli bado wanavaa isivyo, ila nawe maelezo yako inaonekana unachungulia kabisa na sio kuepusha macho usione ubaya wake. Jifunze hata ukiwa nje ya kanisa kuepusha macho yako kuangalia maeneo uliyotaja hata kama kavaa vizuri. Mfano unaweza hitajika kumhudumia dada, mama au ndugu wa kike asiyekuwa na fahamu na nguo zimemtoka au zinamtoka sasa wewe kama unajenga hii hulka utapata matatizo bure, tazama pembeni kabisa hata wao wakiona wanapuuzwa utaona wanaacha wenyewe.Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama wanaenda kuuza sura kanisani au wanaenda kusali. Mfano mzuri ni kanisa la chuo kikuu cha Dsm. Hapa kuna mabinti wanaovaa vimini na wanakaa viti vya mbele. Wanapofika huwa wanajitahidi kubana miguu na kuvutavuta vijimini vyao lakini kipindi kinafika wanachia waziii wananika mapaja na viskintight vyao na wengine skintight hazionekani kwa maana watakuwa wameva bikini. Sasa naomba wenye uwezo wa kutoa onyo kwa hawa kina dada watusaidie. Nafikiri makanisa yote yangeweka sheria kwamba ni marufuku mwanamke kuingia kanisani na nguo zinazovuka magoti. Hebu angalia kina mama wa kiislamu wanapoenda msikitini wanajifunga mahijabu na makanga mengi tu. Kwa nini wakristu wasiwe na kanuni na taratibu za mavazi ya kuvaa siku za ibada. Waache kuwatia Ibilisi wachungaji na mapadre kwa kupanua mapaja yao kwenye viti vya mbele. Naomba tusaidiane kupambana na hili. Thanks in advance. May Almighty Father guide you and bless you so that you can come up with good and reasonable ideas on how to handle this damned matter.
Unajua kuwa watu hawajaenda kwenye nyumba za ibada kwa muda mrefu sana.
kwa hiyo siku anapoamua kwenda anashidwa kujua avae nini na afanye nini anavaa anavyotaka, lakini kwa sababu ndo muumini mchanga anapokelewa anapewa mafundisho mazuri analielewa neno, taratibu anaanza kubadilika mwenyewe bila kushurutiswa( hapa naongelea makanisa ya waliookolewa) na anaanza kufuata taratibu za kanisa.
Unajua kuwa watu hawajaenda kwenye nyumba za ibada kwa muda mrefu sana.
kwa hiyo siku anapoamua kwenda anashidwa kujua avae nini na afanye nini anavaa anavyotaka, lakini kwa sababu ndo muumini mchanga anapokelewa anapewa mafundisho mazuri analielewa neno, taratibu anaanza kubadilika mwenyewe bila kushurutiswa( hapa naongelea makanisa ya waliookolewa) na anaanza kufuata taratibu za kanisa.
aha aha tujitahid kumshinda shetanNi kweli maneno yako, naongezea hapo... Ukitazama na kutamani, umezini...!
Lakini vipi yule mwenye kumtamanisha mwingine... mpaka yule mtazamaji akajikuta akitamani kwa kule kutamanishwa na mtamanishaji!?
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
1Tim 2:9
idiot
Please forgive him/her Sir NNIdiot mama yako
Maelezo yako niliyoya-highlight kwa rangi za blue na nyekundu yanajichanganya yenyewe. Tupe msimamo wako badala ya kumshambulia Bwana MatesoWe Mateso! Sentensi yako umeianza vibaya, ukienda kanisani unakwenda kusali na kumwomba Mungu, sasa wewe unapata muda wapi wa kuangalia wasichana? Hayo mambo ya Macho hayana pazia ni excuse ya kizamani sana. Kama nia yako ni kusali huwezi kuangalia angalia wasichana, unless wewe pia unakwenda kuangalia madada.
Kuhusu wakina dada kuvaa nguo fupi mie naomba tu kusema kwamba, kila vazi lina mahali pake. Beach, disco, kazini, kanisani, etc. Kila mahali kuna mavazi rasmi, basi tujitahidi kuvaa kuendana na mazingira tunayokuwemo!
Mkuu unanikumbusha mbali weweUnaenda kuangalia wanawake kanisa la UDSM kwani ile TBS siku hizi imekufa? Pale ATB kwa nyuma,unatazama kule chini library, kwa mbele kuna kanjia kakuelekea kule faculty of law, kwa huku kuna pahali wanapanda ngazi wanakuja ARD etc, kwa kule kuna kanjia kanaelekea darajani then Daruso/posta. Kakae TBS uoshe macho mpaka uchoke sio kanisani bana!
Pretty hao wa ughaibuni hawako sahihi kwa kila kitu.Hivyo basi siyo watu wakujilinganisha nao;kwasababu na wao wanakosea pia kama wewe unavyokosea halafu unataka kwenda nao sawa wakati na wao wanachemsha/kutokota kabisa.Naomba tuache kuwa wanafiki,sidhani kama kuna mahali katika maandiko na maadili katika sehemu husika yanakubaliana na hilo vazi!