Hii imetokea lini? Operetta sio mwangalifu kabisa huwezi kunyanyua juu kiasi hicho usione na gari inakuja, na istoshe kwenye line huwa magari ni mengi uchunguzi wa kweli ufanyike na haki itendeke,ila ticts huwa ni wanyanyasaji sana tena kwao mteja ndio huwa anakosa.
Hivi hapo ni kosa la operator au dereva wa truck?Watu wanacheza na mamilioni yaani huyo operator anaona kawaida tu.
Hapo kamfanyia kusudi hajatoa lock za kontena.
Hapana malory ya Bandari hayaingii huko. Wewe utakuwa unazungumzia lile lililokuwa linapakua mzigo kwenye ro ro ya Messina. Ilikuwa berth namba tano kama sikoseiJanuary 2018 Kuna Lory Mali Ya Bandari Liliingia Bahari Hapo Hapo Nadhani Ndiyo Hapo Walikuwa Wameliopea Baharini
Inasemekana Lilikosa Breki
Hapana malory ya Bandari hayaingii huko. Wewe utakuwa unazungumzia lile lililokuwa linapakua mzigo kwenye ro ro ya Messina. Ilikuwa berth namba tano kama sikosei
Ile ajali isingekuwa diver mmoja aliyekuwa anapiga mswaki kwenye tug moja la kijani la TPA ambalo lilikuwa nyuma tu ya meli hiyo, basi dereva wa Lorry lile angekufa majiSawa
Mkuu
Maana Nilidhani Ndiyo Hilo
Huku ni kufanya kazi kwa mazoea mkuu,hii inamaanisha jamaa alijua ni kama kawa so hakutaka kuhakiki.Hii imetokea lini? Operetta sio mwangalifu kabisa huwezi kunyanyua juu kiasi hicho usione na gari inakuja, na istoshe kwenye line huwa magari ni mengi uchunguzi wa kweli ufanyike na haki itendeke,ila ticts huwa ni wanyanyasaji sana tena kwao mteja ndio huwa anakosa.
Ule muunganiko ni zaidi ya lock haiwezi kuachia ata kwa bahati mbaya. Umewahi kuona semi imeanguka na horse ikachomoka ikaacha trailer yake!????? HapanaMbona kama ni uongo.....icho kichwa cha scania lazima kingeachia tu kwenye ule muunganiko na tela
Umenichekesha sana. Hivyo vilorry ubabe wake nchi kavu tu huku baharini ni kamzigo kadogo hako. kwa mfano meli za kubebea magari zenye urefu wa mita mia mbili inaweza kushusha vilorry hivyo elfu mbili au elfu tatu kwa bandari hii tu na magari mengine bado yanaenda kushushwa bandari zingineHa ha ha ubabe wake ni kwa daladala na bodaboda.
Halafu mkuu kumbuka kila mbabe ana mbabe wake.