mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,563
- Thread starter
- #21
Kweli mkuu,meli za magari ni kubwa mno kuliko hizi za makontena na bulks.Umenichekesha sana. Hivyo vilorry ubabe wake nchi kavu tu huku baharini ni kamzigo kadogo hako. kwa mfano meli za kubebea magari zenye urefu wa mita mia mbili inaweza kushusha vilorry hivyo elfu mbili au elfu tatu kwa bandari hii tu na magari mengine bado yanaenda kushushwa bandari zingine
Lori linapokuwa linatoka kwenye mlango wa meli ni dogoooo kama njiti ya kiberiti kwenye kabati.