Vimbwanga na vituko vya boss wetu

Kiufupi boss wetu Ni mswahili originally.Asikuone unaongea na simu utaskia ulikua unaongea na Nani mda wote huu kilugha? Mnataka kuniroga ehh! Basi niwaambieni tu sirogeki mi ndo ....( Anataja jina lake). Na kufa sifi mpaka mungu apende. Kenge nyie.
Huyo ni mgonjwa wa akili

Kazi sana kukaa na watu design hizi..
Na huwezi kuendelee kamwe ukiishi nao.
 
Dah umenikumbusha mbaliiiii😅😅😅😆😆😆
 
Mi kichwa panzi sipend kupelekeshwa , ndo maan nimejiajiri mambo ya maboss sitaki uo upuuzi, nilikuwa nafanya kazi sehem msimamiz alikuwa na matusi mbona alifurahi, siku iyo kaandaa kila kitu anasubir mfanyakazi wake mi nkamwambia fanya mwite mama ako mje msaidiane,
 
siwezi kazi ya private mimi bora nibaki zangu govt tunavumiliana
 
Huyo bosi wenu ni kwamba yeye ni msimamizi wenu au yeye ndie mmiliki wa ofisi?
 
Boss wetu ni kiongozi wa dini, yeye naweza kumfanisha na late Magufuli hashauriki, hambiwi kitu , watu wote ni wajinga kwake. Mkali asiye elezeka
Binafsi nashukuru kukutana nae maana hapo kabla mimi na dini ilikua damu damu ila baada ya kukutana na huyu mheshimiwa sana kiongozi wa kanisa ndio nikajua dini ninini.
Uzuri alishawahi kutuambia hakuna pepo wala jehenamu wala kiyama.
 
Na kazi ikaishia hapo Babu....???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila private watu wengi wanafanyia shida isee yaani ni full wasiwasi unaenda job na wasiwasi kama utakuta kazi au ofc itafungwa mauzo yakienda vizuri unasemwa ulipaswa yafanyike zaidi ya hapo yakienda vibaya moto unawaka inshort ni kama upo utumwani hakuna jema private sector hizi za chini.
 
Siku aliyekua boss wangu kunitamkia i will terminate you, mzee baba sikwenda tena job, yaani dizaini nikawa nimejiterminate mwenyewe automatic, basi simu zilimiminika nikiwa nyumbani nawala siku pick ndio ikawa kimoja hadi leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…