vimbaumbau vs vibonge(utaoa yupi?)

vimbaumbau vs vibonge(utaoa yupi?)


Umeanza mambo zako kwahiyo haujaona kidogo nimeongezeka insta babe
hahaha.... yani nilivyorud kitu cha kwanza nilikunyatia kukuona... nikaona upo vilevile insta babe

sema tu umezidi kunona nahisi vyuma vilaini sana kwako
 
hahaha.... yani nilivyorud kitu cha kwanza nilikunyatia kukuona... nikaona upo vilevile insta babe

sema tu umezidi kunona nahisi vyuma vilaini sana kwako
Hahahahahaha bwana ebu rudi uninyatie tena nimeongezeka kiduchu

Hahahaha vyuma inabidi tupambane navyo hivihivi insta babe
 
Huenda ni kawa sawa ama la ila tutashea idea pamoja hawa ni viumbe wawili tofauti ebu ona sifa hizi

VIMBAUMBAU

(a)Ni wakorofi hatari
(b)Wana fitina kama ngedere
(c)Wasafi kupindukia
(d) Hawaoni aibu kuzozona na mumuwe
(e)Wepesi kukasirika
(f) Vigumu kulia, macho yanakuwa mekundu ,kanaongea povu kama lote
(g) Hawatongozwi sana so kuchepuka sio rahisi
(h) Wanajua kubana matumizi na ni wacahapa kazi
(i) wengi hawajiamini wanaishi kwa hisia
(J) Havizeeki kirahisi, mtu wa miaka 40 bado binti kabisa
Etc etc………

VIBONGE

(a) Wazembe hatari
(b) Wanajua kubembeleza
(c) Hawana mambo mengi muda wote kucheka tu
(d) Usafi ni changamoto wengi wachafu
(e) Mkikorofishana, ukitoka nje ukaja na ndizi ugomvi unaisha(wanapenda kula)
(f) Kubana matumizi ni changamoto wanajiachia sana
(g) Wanajiamini sana
(H) Wanazeeka haraka

Ongezeni sifa

Tafiti zinasema waliooa vibongo wanaishi maisha marefu Zaidi ya wale waliooa vimbaumbau😀😀😀😀
Kama hii ni kweli Niko on way kuepukana fitina yaani ndizi tu ushasolve mgogoro
 
.... Nina kibonge mmoja nikichelewa kurudi tuu lazima niinunue kuku nusu na chips au ndizi na Serengeti light baridi, hata kama ni saa saba usiku ataamka kugonga....
😂😂😂 Wengi tupo hivyo
 
Back
Top Bottom