hakuna kimbaumbau anayenenepa hata ale kiasi gani, ukiona ananenepa ujue ni kibonge aliyekuwa na dhiki kwao.Kwahiyo nikimchukua kimbaumbau mkorofi, akala akanenepa anageuka kua kibonge mzembe?
Tabia na maumbile wapi na wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Nina kibonge mmoja nikichelewa kurudi tuu lazima niinunue kuku nusu na chips au ndizi na Serengeti light baridi, hata kama ni saa saba usiku ataamka kugonga....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki umejua kunichekeshayani huwa kila nikifiria mwanamke kibonge nyanya nahisi kama siku njaa ikimzidi anaweza kunitafuna usiku nikiwa nimelala
Dah...na wewe ni kibonge? [emoji41]Hiyo E kwa vibonge nimecheka!
Dah...na wewe ni kibonge? [emoji41]
Duh.! Kumbe siku hizi na wewe umenenepa?Na ww unatafunwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu niulizie sisi vibonge tunaruhusiwa kucomment
Kwahiyo nikimchukua kimbaumbau mkorofi, akala akanenepa anageuka kua kibonge mzembe?
Tabia na maumbile wapi na wapi?
Wezi [emoji23]Na sisi wa kawaida tunatabia gani
Mumeo anakuita dogo[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namba E umenigusa..ni kwl jaman..mm usk hubby akija na nyama ya mbuzi akiambia tu Dogo nimekuletea nyama ya mbuzi usingizi unaondoka wooote[emoji23][emoji23][emoji23] khaa[emoji848]
Mumeo anakuita dogo[emoji2][emoji2]
insta babe ww ukibonge umeupata lini kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ww unatafunwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu niulizie sisi vibonge tunaruhusiwa kucomment