Mwanakijiji unaanza tabia mbaya ya kuchafua viongozi wa serikali. Unakumbuka ulianzisha thread ya picha ya ngono za Kikwete na matokeo yake ukasababisha mmoja wa wachangiaji humu amchafue Rais wetu kwa ujumbe wake hapa: http://66.102.9.104/search?q=cache:...php?p=148313+Kikwete+Ngono&hl=en&ct=clnk&cd=1
Mjadala huu wa kuchafua viongozi ndio ukafuatiwa na kukamatwa kwa wanaJF. Sasa msiseme hamkuonywa.
PM
What are you trying to say now ? Kwamna kundi la CCM kutukana watu ni sawa na leo hawa kuambiwa ukwlei itakuwa ni kutukana viongozi ? Uongozi ni maadili na matendo pia .
I warned these guys muda sasa lakini wamekuja na gia kubwa ya kuzusha na kuacha kujadili hoja chovu.Leo wameanza kumtukana Mbowe na Zitto na wameacha hoja yenyewe .It is aboit time sasa twende deep na kuona lipi linafaa .Nasema Wapinzani got nothing to loose sasa wacha tuingie kwa undani kijulikane kwanza CCM wanasema kuzaa nje ya ndoa ni Ujasiri .Comments za mtu mmoja last week mie hata sikutaka kugusa wala kusema leo nasema maana I am about to explode myself then mtaokota vipande
kama wanatubutu kusema kuzaa nje ya ndoa ni ujasiri basi ujue there is somethingi really wrong some where, kuzaa nje ya ndoa ni kutoijali na kuithamini familia, kuna madhara makubwa sana ya kuzaa nje ya ndoa, kila mtu anayajua (hata wale waliokwisha kuzaa nje tayari) na sina haja ya kuyataja.
Ukiachana na kuidharau na kuiumiza familia hata huyo "mjasiri" pia hajithamini na kikubwa zaidi ni kwamba amesha katatamaa ya maisha.. (hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa kimaisha, kifupi ni ugonjwa wa akili, na hata aliyekata tamaa alieko kwny death row ana nafuu)
sasa kwa viongozi wetu kushindwa kuithamini, kuipenda, kuiongoza kuijali familia na hata wao binafsi wataweza kutuongoza kweli???????
jamani hebu tusiwe tunaenda na mkumbo tuu, maana wengi wetu hapa tz tunafata mikumbo hata unzinzi tunaona ni fashaion
BADO SANA.....
vimada wa vigogo mafisadi, mafisadi, mafisadi, mavi-sadi, mavi-sadi ! eee acha weee eeee !
Mtani wangu KadaMpizani nina wasi wasi wewe ni jamaa mfupi sana maana unabishana kufa mtu hahahahaha watu wafupi bwana balaaa...ubishiiiiiiiiiii
Mtani wangu KadaMpizani nina wasi wasi wewe ni jamaa mfupi sana maana unabishana kufa mtu hahahahaha watu wafupi bwana balaaa...ubishiiiiiiiiiii
Aaaaaah mimi nawataja watajiju kivyao vyao na hasa huyu muheshimiwa sana mwenye mtoto wa kiume, kama anabisha aseme sasa la sivyo nitamweka wazi hapa
Wacha mikwara... wakati wewe unapiga kelele wenzio wanatekeleza... Then haya mambo ya kuwasha moto na kukaa mbali kama sie yameshapitwa na wakati..Niliwapa onyo mwaka jana... mkadhani ninawatania.. mjiandae.... mmoja baada ya mwingine ili liwe somo kwenu na kwa wapambe wenu.. Mnataka kuzungumzia mambo ya kitandani na chini ya mablanketi?
Alianzisha ugomvi hapa wa kupondea JF akachemsha kwa hiyo usishangae akianza kutumia hiyo lugha ...lol. Naona balance aliyotaka ni hii ya kusema kuwa Mbowe ametembea na mke wa Mkapa na anamfukuzia mke wa Mbowe! ukishangaa ya ROstam basi jiandae kuona ya Makamba!