EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
Hawana mambo mengi,
tukutane februari
Wazo zuri sana🙂Kuna ambao tumeamua kunyoa kabisa[emoji31]
Na badoHao ndiyo wanasababisha mzee baba aongeze kibano.View attachment 1672528
Tutanyooka tuJanuary ya mwaka huu haiitwi january....jina lake halisi ni njaanuary
Hao sio Dada zetu wa Kitanzania.......
Mambo yasiwe mengi [emoji38][emoji38][emoji38]
Kweli ila huwa hajikubaliLakini mbona mi naona Kama ndio wamezidi kupendeza
Kipara?Huyo wa katikati nimefanana nae aisee..kasoro hiki kipara changu tu.[emoji23]
Yes kiparaKipara?
Mhh wa-South Africa hawapo hivyo.Sio wabongo! Angalia plate number ya hiyo gari; inaelekea ni wa bondeni!!