Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

Usitie hofu wanaotaka haki zao zitekelezwe kwa manufaa ya nchi. Kupiga kura ni hiari, wataenda wenye interest za kupiga kura. Hivyo vifaru unadhani ni vya kupambana na waandamanaji wasio na silaha? Usitishe wananchi hawatishiki
Si mimi ni wao walivyovipanga na vile waru hawajawahi kuona kifaru mtaani ile hofu tuu tarehe 29 hiyo kila mtu anampigi ndugeye cm kuwa isitoke nyumbani😆
 
Nyumbu hatulizwi na kifaru , Nyumbu anatulizwa na fimbo tu, wa Tz wengi ni Nyumbu kwahiyo huwezi kuua sisimizi kwa nyundo ni matumizi mabaya ya nguvu
 
Upumbavu mtupu ! Hayo yote ni kuwatishia wananchi tusiandamane kudai haki yetu, Kama ni wanaume si wamfurumushe Samia aachie kiti cha urais, wamkamate bwana Kikwete, Rostam, Nchimbi, Abduli na wahuni wengine ? Mbwa koko tuu hao, lakini hawana lolote.
 
Au sio
 
Kwenda wewe mzee, propaganda zako zimegonga ukuta, huu si wakati wa kutishia nyau tena Watz, tarehe 29 lazima tuwapigishe kichurachura mtake msitake.
Pole sana
Tuone kama kuna atakae toka sasa.
Maneno ya kwenye kanga
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee nawaonea Huruma tarehe 29/10 mtashuhudia moto ,mnuajua moto???
Aiseeeee .

Nmewaambia Jana,
Muwakamate Akina Heche Sijui Mnyika Sijui nini ...
Muzime mtandao ....

Oyaaa tarehe 29/10 mtashangazwa
 
Nyumbu hatulizwi na kifaru , Nyumbu anatulizwa na fimbo tu, wa Tz wengi ni Nyumbu kwahiyo huwezi kuua sisimizi kwa nyundo ni matumizi mabaya ya nguvu
Kabisa mkuu yani hata wasipopigwa ile polisi kupita tuu waru wanafyata mki nyuma kama mbwa mwoga
 
Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
Hivyo vifaru vinaendeshwa na watanganyika na adui yetu NO1 siyo mtanganyika...hivyo kuna kitu kinaitwa reverse gear...usije kushangaa hivyo vifaru kuelekea ikulu na raia wakiwa juu yake
 
Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
Tuonyeshe picha za hizo vifaru...unamdanganya nani wakati Lugalo siyo kikosi Cha vifaru...na vimefuata nini pale...wakati siyo mahali Pao...
ACHA kuwaadaa watu.
 
Hivyo vifaru vinaendeshwa na watanganyika na adui yetu NO1 siyo mtanganyika...hivyo kuna kitu kinaitwa reverse gear...usije kushangaa hivyo vifaru kuelekea ikulu na raia wakiwa juu yake
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom