Pole mkuu, Kuna harusi nilihudhuria miezi 2 iliyopita, sasa MC kaita mdada aliyependeza akafungue champagne,, mara paap kanyanyuka mdada na mashauzi kama yote, alikuwa kashaanza kulewa, sasa kumbe alilowana km Ni hivi obviously alienda toilet akajiswafi na vuzi lake maji yakalowesha au alianza breed, Sina hakika maana rangi ya nguo ilikuwa maroon,, watu wakamuita ili kumzuia, dada akahisi wanamshangilia yaani ndo biize kubinua mgongo anacheza kwa madoido,,, aibu niliyopata siku ile Kama ndo mie Yani
By the way, tangu nilipopataga breed katikati ya hadhara na mie sinaga kuumwa tumbo, Sina hili Wala lile,, nachoshukuru tu nyuma yangu alikuwepo mkaka naefahamiana nae aliniita taratibu akasema umechafua nguo yako, akavua sweta, nikajifunga, nilipata fundisho kubwa mno nilipunguza kabisa mashauzi kwa wakaka, hivyo hutokea unapita sehemu hadhara inakupa umakini wao,, Cha Kwanza huwa najiwazia nguo,, ni zipu Kama ya mtoa mada, nikijikagua akilini nikaona niko poa najua wadau wanashangaa uumbaji wa Mungu tu
Wanaume mna roho nzuri Sana katika hizi ishu mbarikiwe mno huwa mnatusitiri Sana kuliko wanawake wenzetu, anakuona unaaibika ila ndo kwanza anamuonyesha na mwenzie