Vikwazo vya maendeleo katika nchi yetu ni...


This has got to be one of the most ridiculous claims ever..that we (Africans) were more developed than Europe during the 15th and 16th centuries.

Huyo Rodney wenu hoja zake zimejikita ktk kutokujionesha kuwa duni ilhali hali halisi inapingana na hoja zake. Haingii akilini eti tulikuwa tumeendelea zaidi au tulikuwa sawa kimaendeleo halafu wao (wazungu) wakaja wakatulostisha na tokea hapo hatuja recover kabisa. This makes no sense.

Wakatuletea dini na sisi tukazikumbatia. Wakatuletea so called ustaarabu na sisi tukaukumbatia. Wakatuletea lugha tukazikumbatia. Wakatuletea elimu tukaikumbatia. Wakatuletea mambo mengine lukuki (likiwemo kulana denda-french kiss) na sisi hao kichwa kichwa tutayakumbatia. Juu ya yote hayo wakaja wakatutawala kimabavu. Wakagawiana bara letu kama vile ni mali yao binafsi, na sisi tulivyo wajinga tukakaa tu tukiwatazama na kuwasubiri.

Sasa mtu eti aje na hoja ya kudai kuwa tulikuwa sawa au kuwazidi kimaendeleo mimi nitamwona kachanganyikiwa tu. Maendeleo ni pamoja na kuamka kifikra na kuwa mwerevu. Sasa ni maendeleo gani hayo tuliyokuwa nayo wakati wenzetu walikuwa werevu zaidi kutushinda sisi?
 
On the other hand Taifa lililoendelea zaidi duniani na lenye nguvu zaidi limejengwa kutoka katika misingi ya kuamini juu ya Mungu huyo! Kwao huyo Mungu hakuwa kikwazo cha maendeleo bali ndio sababu hasa ya maendeleo hayo.

Hawa hypocrites wanaojitia kumuabudu mungu on the one hand huku on the other wana rob na ku pillage, kutia watumwa wao na kuuza watoto wao wenyewe unawaita waamini mungu?

Mungu wa founding fathers alikuwa wa fashion tu, Jefferson mwenyewe ali andika bible yake aka edit upuuzi kibao ulio survive katika modern Christianity.

Unafikiri kwa nini waliweka separation of church and state na hawakwenda na theocracy.

Halafu hata kama maneno yako yangekuwa kweli, humalizi kesi yako kwa kuonyesha tu taifa fulani limejengwa kwa misingi ya kuamini katika mungu na lina maendeleo, inabidi uonyeshe causal effects, kwamba kuamini mungu kumesababisha maendeleo hivi na vile, kama mimi nilivyoonyesha sayansi ilivyoleta maendeleo through renaissance, kutest vitu na kutovichukulia on faith, improvisation as opposed to dogmatism etc etc.
 
Mungu ain't got nothing to do with development. Development is brought about by the people and for the people.
 
Mungu ain't got nothing to do with development. Development is brought about by the people and for the people.

My sentiments, although I would also say when people put too much faith in god they tend to neglect their own roles in the attainment of development. Hence my earlier comments on Kikwete saying "mapenzi ya mungu" at the Arusha mining disaster (Mererani?). This was a preventable calamity.We could have prevented that through better standards and technology.Instead we blame it on god.

And in that context, mungu has something to do with development. If only in the fact that the delusion of a godhead, just like any other unfounded superstition, tends to impede development.

The more a society believes in god, the more backward it is bound to be.

Just look at Atheist/ non-religious northern Europe na evangelical west Africa.

Angalia attendance za kanisani ulaya na Africa, halafu angalia pattern za maendeleo ya kiuchumi.

Utaona idea ya mungu haipatani na maendeleo, na utaona causal patterns.

Na mungu ni tip of the iceberg tu, zaidi ya hapo kuna kuheshimu sana mapokeo/ authority bila kuquestion vitu, hii tabia hai promote critical thought.

Na maendeleo hayaji ila kwa critical thought.
 

Hebu tupatie kwanza hiyo "research" na "data" uliyofanya wewe kuhusu matamshi yako.

Now World History may not be my forte, but its clear neither do you have any credible authority in the field. Un-nuanced, sweeping statements and assertions you've come up with i.e., "tulikuwa sawa" au "tulikuwa almost sawa" "actually ulaya wameanza kuendelea baada ya kuacha kuamini mungu" come across as too simplistic, utterly meaningless and lack proper historical context even to novices like myself.
 

Mazee wewe unaye dispute unatakiwa kuja na data hapa. Mimi nishatoa kitu kiko testable na disputable, kama sivyo tuonyeshe ndivyo ni vipi.

Ni kueleweshana, maana hata mimi sina monopoly ya ukweli, inawezekana ni kweli ninachoamini si kweli.

Lakini huwezi kunionyesha ukweli kwa kuniomba data miye niliye na wrong thought, nionyeshe weye zako zilizo right zinasemaje.
 

Mimi sijasema mtazamo wako ni potofu (au pengine mtazamo wangu ni sahihi) kuhusu hili suala, ila nimekwambia uliyoandika ni pumba kwa kukosa umakini na uhakika unaotegemewa kwa mtu yeyote anayefuatilia mada hii.

Hayo masuala ya "data", "research", "disputable", "testable" "wrong thought" na mengineyo umeleta wewe, na ndiyo maana nimekuomba utufafanulie maana ya matamshi yako fulani uliyoandika hapo juu na kutupatia "data" na "research" zinazotetea msimamo wako.

Kwa kumalizia: Kamwe Kipofu hawezi kumwonyesha njia Kipofu mwenzie. Hatushindani hapa kaka aka "mental Jujitsu master".
 

Angalia factors zilizofanya Ulaya iiache Africa, watu kwenda safari long range baharini Columbus ka cross the Atlantic 1492, wide usage of gunpowder in the 1500's, the employment of scientific research and branching of astronomy from astrology (Tycho Brahe, Copernicus Galileo etc) and Chemistry from Alchemy a bit later in the 1600's.

Kabla ya 1500 Europe ilikuwahaijapata mwanga wa the Renaissance, Henry VIII alikuwa haja endorse reformation Uingereza kuondoa makucha ya Papa na kuanzisha Church of England, pole pole kuondoa minyororo ya imani za authority za watu na mungu. Tungepigana vita na Waingereza/ Wazungu chances are tungepigana na mapanga, na wasingekuwa na advantage ya gunpowder, lakini there is a reason wazungu hawakufika Africa yetu in the year 1000, hawakuwa na organization wala uelewa wa dunia uliotakiwa, na meli zao hazikuwa equipped kupiga masafa. Polepole kati ya AD 1000 na 1500 ndipo wakaanza kutuacha, kufikia 1500 ikawa for sure wao wanaendelea katika a sort of geometric progression na sisi tuko stagnant katika arithmetic progression, if at all, if you will.

Renaissance pia, hususan ilivyoanza Italy miaka ya 1500, largely financed by the Medicis ilichochea kufumuka kwa a banking system iliyoweza ku finance trade na hizi expedition companies kwenda kutafuta makoloni.Kabla ya hapo Europe hakukuwa na mfumo wa banking uliokuwa sophisticated kuruhusu big projects na credit system, an impediment to trade and imperialist conquest. Niall Fergusson kaliongelea hili vizuri sana katika kitabu chake cha mwaka 2008 "The Ascent of Money: A Financial History of The World"

Katika kitabu chake "Science: A History 1543-2001" John Gribbin, the british writer and Cambridge astrophysicist details how Europe moved out of the dark ages in the 1500's with the pioneering scientific community that paved the way for the Newtons, Darwins and Einsteins of later years.If you trace the history of nuclear technology or electricity you will see that Africa and Europe were equally in the dark circa 1500, even the dreamers and Science fiction visionaries (Verne, Wells, Poe, Clarke and even Asimov) did not emerge until much later.But from the 1500'sEurope employed critical thought and Science rigorously while Africa went to sleep.

In his seminal tour de force of a tome "Europe: A History" Norman Davies details how by 1500 Europe was wallowing in superstitions, witchcraft, alchemy, astrology and countless regional wars, inquisitions and a host of other rituals that less politically correct people would characterize as "pagan animism" not unlike Africa if not even worse. One only has to read Nostradamus to see how ridiculous the medieval Europe was, and how common it was for European courts to employ charlatans like him for divination, not unlike something that a Mirambo or Mkwawa would have done.Nowadays they are employing satellite technology to probe every square metre of the earth, while Jakaya is probably employing the services of Sheikh Yahya and his ilk from Mlingotini. In tese past 500 or so years, the Europeans developed from astrology to 10 day weather forecasting, while if not for importing their technology we would still be dealing with traditional rainmakers, in fact I am sure some people in rural Tanzania still do. OK so making rain is still quite a challenge, but they can forecast and prepare at least by 10 days, and they can see long term patterns.

The Gutenberg Bible was not even printed until 1455, and up to then reading was a rarity for princes and the elite, and books extremely expensive, the Gutenberg technology of printing proved instrumental in raising the readership of Europe. Prior to this technology arguably Africans, especially those with their own written languages such as the Coptic, were at the same reading level as Europeans. Even in Cromwell's Puritan England people were still wallowing in books of magic and ancient prophecies.

On top of all, your attack, without enquiring the context of my statement is at best premature or even misguided.Because matters of history may be deemed differently in different context - History is not an exact science, in fact it is not a science at all- and this is why I was so keen to see your take on my position, because sometimes, as that venerable Norwegian physicist Niels Bohr said, the opposite of a great truth can be another great truth, depending on the context and frame of reference.

You may be basing your observations in the root of Euclidean geometry, while I am not using those axioms.Obviously we would not be able to see eye to eye and therefore we would famously "not relate".

You can present your side of this matter, if you so please.

Hiyo "mental Jujitsu master" isikukondeshe, ni manjonjo ya kutafuta worthy challenges hapa tu.

Na so far sijaona kutoka kwako, hata kama unakimbilia "hatushindani" ukishasema sijatoa a convincing case tayari ni mashindano ya aina fulani utake usitake.

You know you are the "Pope" if not the "Jujitsu master" of this ish when the anti-Pope, a.k.a Da Dude, attacks you for sheer relaxation.
 
Da Dude huonekani, it's Saturday Night hapa, viwanjani tena. Baadeni.

Ningepena kuona point of view yako itakavyo retort.
 

I will give a different perspective that maybe most people haven't considered. The source to our problems is actually something which should and could be the solution to our problems. Our problem is the following people:

a)The wealthy
b)The educated
c)The talented & skilled

Why do I say these people are the problem? In any country not everyone can contribute equally to the development or prosperity of the country. It is the above few who carry the nation. Sadly these groups of people have been selfish. They have been selfish in the sense that they use what has been blessed to them by God to help themselves without caring about the effects of their actions. Let me break down each group one by one.

a)The wealthy: These are the people who carry the wealth of the nation. They pay the most tax & as you know tax is the main revenue source for the government & different programs of national interest. But these people evade tax, fail to help the poor & are the first to scramble and waste the resources of the nation.

b)The educated: The educated are supposed to be the glue between the the ruling class and the working class. BUT instead of trying to empower the poor they despise and see them as everything they don't want to be. Instead they fight for the rights of the wealthy whom they wish to illuminate. Just as yourself....look at any educated person and try to find out their opinion about someone who is not educated. They think so low of them.

c)The talented and skilled: These hold the future of the country in their hands. They have been blessed with natural God given talent which supplemented by a good education makes for a person made for success. These are the people who are exceptional and make what they do seem very easy. But sadly most of them use their talents in a wrong way. You find a charismatic person using his charm to cheat people. Are very smart person coming up with plans of how to embezzle and cover up instead of coming up with plans for national development etc.


NB: I have generalized the groups so it does not mean every single person from these groups exhibit the above characters. There are a few of them doing the right thing but are outnumbered greatly by the ones doing the opposite.

This is my take.
 

Ok. Maswaali?? Hakuna?? Tunaendela...!
 

Akili Kisogoni,

Hujanisaidia kitu zaidi ya kunithibitishia kuwa una upungufu wa kuelewa. Amam umekurupuka na kusomna nilichokiandika bila kutafakari ninachokisema na kujibu kwa umakini na ndio maana unakuja kuleta majibu ambayo hayana maana.

Kakuuliza Kiranga, mantiki yako ya kuonekana mvivu wa kutafakari.

Nitakusaidia.

Nimehoji kwa nini Wazazi washinikize Watoto wao kuamini dini, na ndio maana nikataja Sunday School na Madras.

Nikaendelea kusema kwa nini asipewe uhuru wa kuhiari anachotaka nikiwa na maanisha suala la Imani ya Kidini (inabidi wengine mfafanuliwe kila kitu muweze kuelewa anachosema mwandishi! duh ndio maana vilaza wengi Tanzania!), na nikaendelea kubainisha kuwa mtoto huyu aendelee kulelewa katika misingi ya kawaida ya kijamii ambayo ndio unaitolea mfano mfanu kuamkia na mengineyo.

Labda nikuulize, ni wapi kwenye Biblia au Quran kueandikwa Mdogo lazima amuamkie Mkubwa?

Nitajinukuu tena nikuonyeshe kuwa ulikurupuka kwa pupa kunijibu bila kutafakari na kujaribu kuelewa nilichoandika hapa!

 

Nyani,

Nini Bana? Weye hujui machungu ya kutawalia kwa miaka 100 yanatosha kufuta historia na kila tulichokifanya kwa miaka 1000? Si ndivo tulivyo, wepesi wa kujigamba na leo hii miaka 50 tangu afrika ijitawale tunachechemea, vile vyuma vya Axum na Mero sijui Luba Lunda, Songhai, timbuktu na Mwanamutapa zimebakia kuwa hadithi za vijiweni.

The scary thing is that from colonization to Indpendence it was simpy a transition time shared by mere 4 generations in a family, sasa we have lost in 4 generations all the craft and expertise that our Ancestors prior to Ukoloni had!

That has to be some scary crap if you think about it. 4 generations and all history, craft and ability gone to Zero! Wow!

Sasa Mbaya kwa Tanzania is that from Berlin conference to end ofo WW is barely 30 years which is simply one and half generation that trully faced the wrath of mkoloni, forget about your uncles of Tabra who were slaves and got sold at Bwagamoyo!

Now this is peculiar for Tanzania. Barely 2 generations and all bets are off, maana Mjerumani alishika Mjeledi but by the time he was gone, Muingereza was using remote control!

Sadly this prooves your damn point, Miafrika ndivyo Ilivyo!
 


mengi tunazungumza lakini yapo ya msingi tunayadharau
au hatuelewi ni vipi yanatuhusu kwenye maendeleo...
moja la msingi ni matumizi ya lugha kwenye elimu na maarifa.
tazama nchi kama china,japan,korea na kadhalika utakuta
walichukua knowledge yote waliyoipata kutoka west
wakaitafsiri kwenye lugha zao na kujiendeleza zaidi...
sisi badi hatuamini kwamba tukitumia lugha yetu ya
kiswahili kwa mfano kusomesha wahandisi na madakari na taaluma
zingine,tutapiga hatua kwa haraka sana...
vijana wenye elimu ya uhandisi waliyoipata kwa lugha yao
hawatakubali kuishi nyumba mbovu au kuwepo na tatizo
la madaraja maeneo wanayoishi wakati wana uwezo wa maarifa ktatua tatizo hilo
mila na desturi tulizo zitupa ni pamoja na lugha zetu....
 

Aisee kuhusu lugha umeongelea kitu cha maana sana na kitu ambacho nilikua nime overlook.

Lakini kuna tatizo moja kuhusu kutumia lugha yetu wenyewe. Hatujitoshelezi kiajira. Kwa maana leo mtu afundishwe kwa Kiswahili kuanzia vidudu mpaka chuo ina maana unamuandaa na kumlimit kufanya kazi Tanzania katika makampuni ya Kitanzania. Leo hii tunaweza ku-guarantee wasomi wetu job security kama tukiamua kufanya hivyo? Leo mtu wa China, Japan na Korea ana uhakika wa ajira nchini mwake katika makampuni yanayo tumia lugha yake. Is that the same case for us?

Maendeleo na utumiaji wa lugha yanaenda sambamba, siyo moja linatangulia lingine
 

unasema huna dini, lakini kila nikisoma maandishi yako naona unayo dini!!!!!!!!! labda kama hujui maana ya neno "dini"................... hao waliokujaa ubongoni mwako ndio manabii wako na miungu yako na mawazo yao ndiyo unayoabudu............. tena inaonekana wewe ni muumini mbaya sana kwa sababu unaabudu miungu mingi iliyo wandamu kama wewe bila kujijua ................yaani unaabudu (unconciously)....................... halafu ukilala njaa due to your own underdevelopment and unfaithfulness unasema tatizo ni Mungu asiye mwanadamu (anayeabudiwa na kutukuzwa kama Mungu mwenyezi) na huoni kama miungu wanadamu (wako) nayo waeza kuwa tatizo....................

kumbuka, hata chakula hakimsaidii mtu mara tu kinapomezwa bali kinahitaji kumeng'enywa na kufyonzwa tumbon ili kiingie kwenye mfumo wa metabolism kabla hakijamfaidia aiyekila kwa kuboresha afya yake................. nawe unaposoma mawazo ya hiyo miungu yako itafakari kwanza ili upate manufaa (kama yamo) ............otherwise ninachoweza kukusaidia kwa sasa ni kukukumbusha kuwa kipofu akimwongoza kipofu mwingine wotw wawili watatumbuka shimoji....................

nawasilisha..................
 


Mwana fa...
Lugha ni muhimu ikatangulia kwanza.
halafu umuhimu wa lugha yako ni kuwa
utaweza kujiajiri na sio kusuburi kuajiriwa...
imagine wahandisi wa majengo na barabara na madaraja
na madaktari na wafamasia wenye uwezo wa kutengeneza madawa n.k..
tutajitosheleza wataalam na tutajiajiri wengi na tata dominate the region.
dunia nzima kuna upungufu wa madaktari kwa mfano na wana taalumazingine.
na kama daktari wa upasuaji wa moyo kwa mfano huitaji kujua kiingereza
sana zaidi ya mawasiliano tu.
madaktari waliojifunza udaktari kwa kihispania wanafanya kazi
katika nchi zinazotumia kiingereza,right now as i am speaking....
 

Maroon na blue -Asante ndugu yangu..... hili la kuona kila lililo baya limeletwa na wageni hata mimi huwa linanitatiza kabisa..... hizo tabia za ushoga/usagaji hazijaanzia nje ya nchi yetu..zimekupo kwenye jamii karne na karne... umezungumzia Egypt.... nitaweza kukupa mifano ya jamii za kitanzannia zilizofanyiwa utafiti...anyway hii ni nje ya topic for now...

Green - Hapo sasa! inakuwaje watu hawataki kukubali upungufu utokanao na kutokutimiza wajibu na badala yake kumtupia lawama Mungu?! Ina maana kama wangewajibika ipasavyo basi janga lisingetokea na maendeleo yangeonekana - kusingekuwa na vifo maana hatua madhubuti zingekuwa zimechukuliwa kuwalinda hao walioathirika, mafisadi wasingeiba with impunity maana kusingekuwa na mianya au hata wangeiba basi mkono mrefu wa dola ungewa smoke out of any hole na kuwaadhibu vikali......

Haya hebu tuone maoni zaidi...............
 


Big up bro........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…