WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
- Thread starter
- #81
Kikwazo kikubwa ni ubinafsi. Viongozi wanaangalia matumbo yao, wanagombea nafasi sio kuwatumikia wananchi bali kuchukua kodi zao na mali zao kwa maslahi binafsi. Angalia Mkapa, EL , JK et al. Wanaangalia zaidi matumbo yao wanapata ngapi kwa kujineemesha siyo kuwasaidia wale waliowaweka na kuwakwamua katika matatizo yao ingawaje hivi sasa wana fweza tele ambazo wataziacha hapa duniani baada ya kufa kwao. Ndio wenye mawazo yaliyofilisika.
KWANI mila za kiafrika au makabila mbalimbali tuliyo nayo zinasemaje kuhusu tabia kama hizi? Endapo kiongozi wa kijadi enzi zileeee angafanya ubinafsi kama hivi, jamii ingemchukulia je?