Viktor Orban Ashindwa Uchaguzi huko Hungary

Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni ya utawala wa Magufuli na Samia wameamua sasa kuteua baadhi ya wabunge wachache wa vyama tanzu na ccm lkn chama wanachokiona kama cha upinzani kweli kama Chadema kamwe hawaruhusu wapate mbunge hata mmoja wa dawa.

Tanzania hamna tena kitu kinachoitwa uchaguzi ni maigizo tu yanafanywa na ccm kikishirikiana na vyombo vya dola vitiifu kwake kisha kinajitangazia ushindi basi biashara imekwisha.
 
Sahihi kabisa...

Watawala wameivuruga hii nchi kwa maslahi ya kikundi kidogo cha walaji.

Wananchi wasipoikataa hii hali, hawa makatili watalisambaratisha hili Taifa.
 
Bado Trump anaenda kupigwa chini kwenye chamber zote mbili za Congress. Inabidi insane leaders wote waondolewe
Itakuwa jambo jema sana kama hilo litatokea.

Kitendo cha wahafidhina wa MAGA kumpinga waziwazi ni dalili nzuri

Sema democrats kama kina Biden nao wameangukia kwenye Ushawishi wa Israel lobby (AIPAC), hicho kibabu (Biden) kilinikera mno kilipofumbia macho unyama wa Israel kule Gaza

...labda angalau wapatikane kina "Bernie Sanders" au MAGA wasiopenda sera za Israel wawe wengi ndio Netanyau atadhibitiwa.

Kichuguu Nguruvi3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…