Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
umeona mkuu wanajeshi na mifuko yao kama wametoka shoping wakati magaidi wapo ndani wanaswali kwa raha zao?
Yaani aibu khaaa badala ya kuokoa watu wao wanaiba tena mbele ya mtu aliyepoteza maisha BAK hebu njoo uone huku. Hawa ndio wanaolipwa ili kulinda maisha wakenya mweee. wana bahati hawaonekani sura zao mbona ingekua nomaakwa hili wazungu watatudharau milele...yaani watu weusi tunamind vitu vidogovidogo bila sababu