Hajapatikana ndio maana mpaka leo kuruti wote wa kambi zote wanaimba wanamtafuta malelaIvi Malela alivyopotea porini alipatikanika kweli eeeh...???
Ah kumbe we dogo wa juzi tu? Me nilikuwa op kasi mpya 2005Operation gani mkuu,mimi nilikua OP Magufuli[emoji24]
Duh..kumbe wewe ni wa mda,na kumbe Kazaula wa siku nyingi pale...Ah kumbe we dogo wa juzi tu? Me nilikuwa op kasi mpya 2005
Kikosi JeshiMaana ya KJ ni nini?? Na hizi no mbona zinaanza na 800+ na siyo chini ya hapo ufafanuzi plz maafande
sifa Lugongo,majumba matatu...Maramba 838kj
KJ ni kikosi cha jeshiMaana ya KJ ni nini?? Na hizi no mbona zinaanza na 800+ na siyo chini ya hapo ufafanuzi plz maafande
Huyo namjua ana misifa huyo anaongea sanaaa[emoji3]825 KJ Mtabila--Kigoma I won't forget u... Chini ya makamanda James,Soudy,Mkude na Mkuu wa kambi Major GB kazaula[emoji91]
Mzakwe weweee! Mtunduruni. Bustanini. Kwa CO.
Nilipewa nickname CI Chief Instructor.
Hivi Vikosi Vya Jeshi Ni Muhimu SanaMzakwe weweee! Mtunduruni. Bustanini. Kwa CO.
Nilipewa nickname CI Chief Instructor.
Watoto wa mzee abeli ple bustan ya bravo coyMzakwe weweee! Mtunduruni. Bustanini. Kwa CO.
Nilipewa nickname CI Chief Instructor.
B Coy! Platoon one section one. Kibooko Enzi hizo platoon commander S/Sergeant Mwiba.Watoto wa mzee abeli ple bustan ya bravo coy
***** utakuwa mujibu wewe841kj mafinga ..bravo coy OC ruteni muhuva noma sana jamaa alikuwa na Roho ngumu nilidoji kumbe ilikuwa ndo siku ya posho ckupata kwenye 50 inakatwa unabaki na 31 jamaa akaacha ujumbe hio 31 kama naitaka ninywe maji mengi moyo uelee ndo niifate nikaipotezeaaa
Unamaanisha?Col. Mbowe.
Namaanisha.Sio Mbowe huyu wa siasa. Mwaka 1987 CO wa Makutupora alikuwa Col.Mbowe .Labda walikuwa ndugu.Unamaanisha?