Vikosi M4C vikipangwa hivi CCM watajuta!!!

Vikosi M4C vikipangwa hivi CCM watajuta!!!

Hivi hakuna kanda ya diaspora? DMV or something?
 
Google, M4C ni movement 4 cheating

Kama Mbunge Mwigulu Nchemba ambaye pia ni kiongozi wa CCM anadanganya UMMA kuhusu maana ya M4C (Movement for change) kupitia JF bila kuona aibu hatimaye akajiheshimu, je ni mangapi tunayopotoshwa hasa tusiyoyafahamu?
 
Last edited by a moderator:
Safu imekamilika, na makamu mwenyekiti Kamanda Said Arfi aongeze nguvi kuzunguka nchi nzima, ila Prof Safari pamoja na makamanda wengine wapangwe kanda ya kusini kwenye mikoa ya linda na Mtwara, na zanzibar iwe chini ya Naibu katibu mkuu Zanzibar. Na kanda ya kati kamanda Joseph Kashinde mbunge mtarajiwa wa Igunga aongezwe.
 
Google, M4C ni movement 4 cheating

Behave......!

Umesahau kwamba unatumia Real ID?This is gutter politics

Keep throwing banters and jibes against M4C but we'll not retreat.You exhibit a far more chronic and dangerous form of political deception

We Don't want to engage in verbal missiles

Usitutoe kwenye mjadala......

[TD="class: l pd w"][/TD]
 
Mkuu Ritz
Makamanda wa JF wanajitahidi sana kujitangaza tatizo hawajulikani na mtu yoyote pale mtaa wa Togo

Chama
Gongo la mboto DSM

mnajuaje kama makamanda wa hapa Jf ndo hao waliotajwa?
 
Last edited by a moderator:
Hichi ni kikosi kazi kikiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe,naomba iwe hivi
 
Back
Top Bottom